Hivi kwanini kuna watu wanalazimisha saa sana machafuko lazima yatokee yaani. Hata ukiwakwepa vipi, wanalazimisha tu? Ni mpango wa shetani au Mungu jamani?
Wachache watakuelewa mkuu...Ukiwa unaendesha Gari rough road Ni vema after at some distance unasimama ushuke kuangalia kiasi gani vumbi unalotimua linaathiri watembea kwa miguu.
Ukiona limezidi Sana Punguza speed.
Fried egg isikauke sana, na juice isiwe baridi sana.......Lala utaletewa breakfast kitandani
Ngoja ka-Ustahimilivu tulikokabakiza nako wakapole .......Hivi kwanini kuna watu wanalazimisha saa sana machafuko lazima yatokee yaani. Hata ukiwakwepa vipi, wanalazimisha tu? Ni mpango wa shetani au Mungu jamani?
Fried egg isikauke sana, na juice isiwe baridi sana.......
sasa mkuu moderator kwanini usifute tu hii kuliko kuiunga kusikohusika !
UK.ndu lako linawasha niniWapinzani hawakutumia busara kujitoa Wamekosea sana
Wafikirie kabla ya kufanya maamuzi ya pupa
Hiyo Audio umeisikia kiongozi au bado huoni, usikii wala usemi?Wapinzani hawakutumia busara kujitoa Wamekosea sana
Wafikirie kabla ya kufanya maamuzi ya pupa
Mwl Joyce alikua muandikisha Kitongoji cha Stooni Nyamongo, alimpigia wakala wa uandikishaji simu kimakosa akifiri amempigia wa CCM, alikua anaomba rushwa kwa wakala ambae baadae ndio alikua awe mgombea wa Kitongoji mwalimu Joyce alikuwa anasema ametumwa na msimamizi wa uchaguzi anaeitwa Henry eti kwa sababu wamefanikiwa kumuondoa mgombea wa CHADEMA kwa kumuandikisha mara mbili.