Exclusive: Uhuni wa CCM uchaguzi Serikali za Mitaa huu hapa

Wapinzani hawakutumia busara kujitoa Wamekosea sana

Wafikirie kabla ya kufanya maamuzi ya pupa
Busara ninini? busara gani zilikuwa zitumike?

Hivi ukikutana na shetani na wewe ukajua huyu ni shetani, akikuambia 'TUMSIFU YESU KRISTO au BWANA YESU ASIFIWE' Utaitikia hiyo salaam au UTAMKEMEA?
 
Mwl Joyce alikua muandikisha Kitongoji cha Stooni Nyamongo, alimpigia wakala wa uandikishaji simu kimakosa akifiri amempigia wa CCM, alikua anaomba rushwa kwa wakala ambae baadae ndio alikua awe mgombea wa Kitongoji mwalimu Joyce alikuwa anasema ametumwa na msimamizi wa uchaguzi anaeitwa Henry eti kwa sababu wamefanikiwa kumuondoa mgombea wa CHADEMA kwa kumuandikisha mara mbili.
Sitetei ujinga wa CCM, lkn hii audio ni Created wala hata huyo mama maongezi yake yanaonesha sio muhusika.
 
Back
Top Bottom