Exclusive: Uhuni wa CCM uchaguzi Serikali za Mitaa huu hapa

Ukiwa unaendesha Gari rough road Ni vema after at some distance unasimama ushuke kuangalia kiasi gani vumbi unalotimua linaathiri watembea kwa miguu.
Ukiona limezidi Sana Punguza speed.
Wachache watakuelewa mkuu...

Ila kwa zama hizi ni Machozi, Jasho na Damu
 
Hivi kwanini kuna watu wanalazimisha saa sana machafuko lazima yatokee yaani. Hata ukiwakwepa vipi, wanalazimisha tu? Ni mpango wa shetani au Mungu jamani?
Ngoja ka-Ustahimilivu tulikokabakiza nako wakapole .......

Ni style ile ile ya kujimwambafai..
 
FB_IMG_1573729202183.jpg


Imetengenezwa tuhuma ya kufanya mkutano haramu
 
"Kwa hiyo huyu Lema anataka kuvuruga uchaguzi wa vitongoji au kaanza kampeini kabla ya muda!?"
 
Mwl Joyce alikua muandikisha Kitongoji cha Stooni Nyamongo, alimpigia wakala wa uandikishaji simu kimakosa akifiri amempigia wa CCM, alikua anaomba rushwa kwa wakala ambae baadae ndio alikua awe mgombea wa Kitongoji mwalimu Joyce alikuwa anasema ametumwa na msimamizi wa uchaguzi anaeitwa Henry eti kwa sababu wamefanikiwa kumuondoa mgombea wa CHADEMA kwa kumuandikisha mara mbili.
 
Back
Top Bottom