Exclusive Interview with UKAWA's Edward Lowassa: I think I can be a President

Exclusive Interview with UKAWA's Edward Lowassa: I think I can be a President

The general election scheduled to take place in Tanzania on Oct. 25 is driving a wedge into political life in next-door Kenya. President Uhuru Kenyatta and the opposition leader Raila Odinga have found another reason to battle one another as each backs a different candidate. Kenyatta support the Tanzanian challenger, Edward Lowassa of theUkawa party, while Odinga would like to see the candidate of the ruling CCM party, John Magufuli, carry the day.

Odinga, who is a long-standing friend of Magufuli, hopes that if he wins he will make life hard for Kenyatta within the East African Community (EAC).

Odinga is hoping his popularity in the Kuria community in Kenya's south-west will influence the kuria electorate in northern Tanzania to vote for Magufuli.

For his part, Kenyatta is trying to get businessmen to contribute financially to Lowassa's electoral campaign. If he becomes president Kenya's business community expects Tanzania to become more favorable to Kenya. Kenyatta has asked a number of political experts like Moses Kuria, Nancy Gitau and Joseph Maathai to lend a hand to Lowassa.
 
Mtu akiwamua kukutukana sio lazima akatamka waziwazi! Iweje Lowassa akatae mdahalo nchini Tanzania halafu afanye interview na vyombo vya habari vya Kenya? Kama sio kuwaona Watanzania malofa ni nini?
Afadhali yeye amefanya hata na hizyo ya Kenya, mbona 2010 wengine walikataa kabisa kufanya na yeyote.
 
wakati wao wanang'ang'ania afanye midahalo ambayo imepanga kuandaa maswali yatakoyoitwa ya wananchi ili wamchafue atafanya interview kwa Lugha ya Kiingereza na Citizen TV, KTN, BBC,CNN,Aljazeera n.k

Hicho kingereza kitamsaidia vipi kwenye interview? 85% ya wabongo hawajui kingereza, ss yeye anagombea nafasi ya urais wa Kenya au Tanzania? mbona vijana mnapenda kutumia sana pumba na makalio kufikiri, nyie ndo wale ukienda miezi mitatu Ulaya ukirudi nyumbani hata mama yako unamsalimia kwa kingereza kwamba umesahau luga zote za humu tz, acheni urofa huo.
 
Dah Mimi napenda mabadiliko ila ukweli jamaa siku zinavyizidi kwenda ndio anazidi kuchoka

Anachoka nini? Mnakera mno mnaowaza hivyo . Acheni kuelekeza mawazo kizandiki . Tuna wajibu wa kuwapenda na kuwaheshimu watu wote hata kama hatutawapa kura.
Lowassa katimiza mashart yote ya chama chake na yale Ya NEC ndiyo maana karuhusiwa kugombea. Hilo la afya ya mwili halihusiki , labda angekua na tatizo la Akili ..,,
 
Naskia kuna mtu alijinyea juzi kati
Ingekuwa kweli lazima wabaya wake wangerusha picha live au hata wangeonyesha picha akiwa amebadilisha nguo tofauti za zile alizo kuwa nazo awali; chezea Siasa za Majitaka a.k.a Siasa Chafu Weye.
 
Kusema ukweli waliosoma science lugha huwa hawaijui ndio maana hata kwenye kampeni mnamuona Magufuli anapata shida na kuamua kuongelea mabarabara zaidi.
 
Battle:Lowasa vs Maghufuli!
Medium of Debate:English language
Venue:citizen tv
place:kenya

Mnadhalaulika kwa kutojiamini na kutothamini vya kwenu!

Lakini, kwenye mitandao humu tunaweza tudhanie ni watanzania wenzetu kumbe ni wakenya ninyi!
 
JENEZA LINALOTEMBEA = Edward Lowassa, hata interview hawezi kufanya ya muda mrefu sasa PUSH UP ndio ataziweza? Makubwa haya.
Kuna watu mnapenda kupigiwa push ups, hivi wanaume zenu hawawatoshi?
 
Anachoka nini? Mnakera mno mnaowaza hivyo . Acheni kuelekeza mawazo kizandiki . Tuna wajibu wa kuwapenda na kuwaheshimu watu wote hata kama hatutawapa kura.
Lowassa katimiza mashart yote ya chama chake na yale Ya NEC ndiyo maana karuhusiwa kugombea. Hilo la afya ya mwili halihusiki , labda angekua na tatizo la Akili ..,,

Wewe Una akili timamu ,kwa hiyo kusema kachoka ndio kwamba simuheshimu au simpendi lowasa ?? Wapi nilipo ongelea swala la afya ya lowasa ??
 
wakati wao wanang'ang'ania afanye midahalo ambayo imepanga kuandaa maswali yatakoyoitwa ya wananchi ili wamchafue atafanya interview kwa Lugha ya Kiingereza na Citizen TV, KTN, BBC,CNN,Aljazeera n.k

Basi wakenya watamchagua!
Kama anakataa kuhojiwa na wananchi wa Tanzania na anakubali kuhojiwa Kenya! Mungu ambariki amshinde Uhuru uchaguzi ujao!
 
Basi wakenya watamchagua!
Kama anakataa kuhojiwa na wananchi wa Tanzania na anakubali kuhojiwa Kenya! Mungu ambariki amshinde Uhuru uchaguzi ujao!
tunamchagua sisi wapumbavu na malofa wa tanzania! baki na magufuli wako!
 
Mtu akiwamua kukutukana sio lazima akatamka waziwazi! Iweje Lowassa akatae mdahalo nchini Tanzania halafu afanye interview na vyombo vya habari vya Kenya? Kama sio kuwaona Watanzania malofa ni nini?

Wacheni ngonjera zenu, mbona chaguzi mbili zilizopita wagombea wa ccm walikacha midahalo?
 
Hicho kingereza kitamsaidia vipi kwenye interview? 85% ya wabongo hawajui kingereza, ss yeye anagombea nafasi ya urais wa Kenya au Tanzania? mbona vijana mnapenda kutumia sana pumba na makalio kufikiri, nyie ndo wale ukienda miezi mitatu Ulaya ukirudi nyumbani hata mama yako unamsalimia kwa kingereza kwamba umesahau luga zote za humu tz, acheni urofa huo.
kama wewe ni kilaza kimpango wako!
 
Back
Top Bottom