Dah Mimi napenda mabadiliko ila ukweli jamaa siku zinavyizidi kwenda ndio anazidi kuchoka
jamaa yuko vizuri kwenye kizungu sio jk anayepataga kigugumizi akiongea ilingish, sasa ni zamu ya makomeo tusikie ile accent yake anapopiga umombo
Dah Mimi napenda mabadiliko ila ukweli jamaa siku zinavyizidi kwenda ndio anazidi kuchoka
Tena uendeshwe kwa kingereza kama hatujasikia yale ya manufacturing teachers na the, the kilometas nyingi.Tunaomba mdahalo wa Lowassa na Magufuli ufanyike CITIZEN...
Siku Magufuli akitema ung'eng'e humu ndani mtapoteana.
Ni kweli mkuu hata magufuri kazidi kuwa mweusi kama mimi na pia kapungua.Kampen si kaz ndogo mkuu, kura yangu ntampigia.
Alipokuwa CCM kipindi anatafuta wadhamini alizunguka mikoa yote 30 kwa siku 36. Baada ya wiki 3 kampeni za kitaifa zikaanza tena, ambapo atazunguka mikoani na wilayani kwa siku 70. Na mpaka sasa kashazunguka mikoa 16 wilaya zaidi ya zaidi ya Km 13,658...
Ebu tuweni fair, kama binadamu kwa nini asichoke? Au yeye anatumia diesel?....
Kampen si kaz ndogo mkuu, kura yangu ntampigia.