EXCLUSIVE INTERVIEW...Topic: Madhara ya Urafiki wa Kwenye mitandao!!

Mmh!!!

Wengine tunafahamiana kwa kuwa ni watu niliosoma nao ngazi mbalimbali za kielimu, wengine ni wale tupo pamoja kikazi, wachache siwafahamu kabisa.

Unajua kuna utofauti wa mitandao ya kijamii, LinkedIn ni aina ya mtandao ambao unatoa fursa kwa mtu yoyote(normally ni wale waliopo katika ajira) kuweka CV zao online na wakati huo huo waajiri kutazama CV hizo na inapowezekana kutoa fursa za kazi.

Watu kule mara nyingi huwa hawafanyi interaction nyingine yoyote kinyume na zile za kitaaluma.

okay! naona ni mtandao mzuri japokuwa haujulikani kwa wengi.
Its world wide ama?
hapo kwenye CV ndiyo kumenifanya nikakuuliza hili swali..
 
No hao ni wale tuliofahamiana either nilisoma nao..wale tuliokua pamoja...tukacheza pamoja..etc
sio niliokutana through Social Network.....

na the reason of what happened mpaka urafiki kuisha kwa wengi wao sio result ya social Network
ilikuwa ni maaumuzi yangu tu after some Issues kutokea
.

Issues!! kama zipi mkuu?
you may state it indirectly..
kutakuwa na kitu hapa thats why ukaamua kufanya hyo maamuzi.
 
okay! naona ni mtandao mzuri japokuwa haujulikani kwa wengi.
Its world wide ama?
hapo kwenye CV ndiyo kumenifanya nikakuuliza hili swali..

LinkedIn it's a worldwide social networking...mbona ni maarufu sana tu.

Watu walio kwenye kazi zenye kuchagizwa na displines mbalimbali wanaujua huu mtandao.
 
Issues!! kama zipi mkuu?
you may state it indirectly..
kutakuwa na kitu hapa thats why ukaamua kufanya hyo maamuzi.

Ukiniuliza ka nina Best friend nitaakwambia NOP....
watu niliowa consider as FRIENDS were the one busy snitching behind my back
Something happened (I dont think am ready to disclose it here)I thought they will be there for me KUMBE...
 
LinkedIn it's a worldwide social networking...mbona ni maarufu sana tu.

Watu walio kwenye kazi zenye kuchagizwa na displines mbalimbali wanaujua huu mtandao.

Ok! mkuu hebu tuongee kidogo kuhusu akaunt yako ya fb.
je, unatumia jina halisi?
umeweka picha halisi?
when some one add you hata kama humjui, huwa una accept?
 
Ukiniuliza ka nina Best friend nitaakwambia NOP....
watu niliowa consider as FRIENDS were the one busy snitching behind my back
Something happened (I dont think am ready to disclose it here)I thought they will be there for me KUMBE...

there for u!! on social networks?
how someone can snitch ur back there?
inaama we kila kitu ulikuwa una ki expose?
all of ur information?
 
Ok! mkuu hebu tuongee kidogo kuhusu akaunt yako ya fb.
je, unatumia jina halisi?
umeweka picha halisi?
when some one add you hata kama humjui, huwa una accept?

Okay,

Hahah natumia majina yangu halisi ingawaje nimeyaandika kwa ufupisho...

Profile picture pia natumia halisi na ninazo kadhaa katika jalada mahsusi la picha (photo album)...

Uzuri wa FB kabla hujakubali kumfanya mtu rafiki, una uhuru wa kumchunguza kidogo kwa kutembelea ukurasa wake na kujiridhisha...

Hivyo watu ambao huwa siwajui na mialiko yao huwa naikubali pale tu ninapojiridhisha...
 
there for u!! on social networks?
how someone can snitch ur back there?
inaama we kila kitu ulikuwa una ki expose?
all of ur information?

They were my BEST friends ambao nimekua nao........
so wanajua mengi kuhusu mimi na sio kwamba I was going
around na kuexpose issue zangu tena all of them NOP......
 
Okay,

Hahah natumia majina yangu halisi ingawaje nimeyaandika kwa ufupisho...

Profile picture pia natumia halisi na ninazo kadhaa katika jalada mahsusi la picha (photo album)...

Uzuri wa FB kabla hujakubali kumfanya mtu rafiki, una uhuru wa kumchunguza kidogo kwa kutembelea ukurasa wake na kujiridhisha...

Hivyo watu ambao huwa siwajui na mialiko yao huwa naikubali pale tu ninapojiridhisha...

safi! mkuu fb marafiki wako wanaweza kufikia wangapi?
 
They were my BEST friends ambao nimekua nao........
so wanajua mengi kuhusu mimi na sio kwamba I was going
around na kuexpose issue zangu tena all of them NOP......

sasa wanajua mengi kuhusu wewe

hata hawayatoi nje..whats wrong with that? snitching inaingiaje hapo?
 
Mkuu naona unarudia kule kule issue ni kuwa I dont have many friends ka ilivyokuwa zamani..na kama nilikuwa
nawaelezea about my stuffs it was before not NOW sa hivi wanasikiaga tu H.O.E ni hivi H.O.E kafanya vile...
sina time nao tena its me na maisha yangu tu...sitaki ya zamani yajirudie

can we move to something else PLEASE..
 
ok..niambie sasa kuhusu JF..hapa umesema hujuani na marafiki zako wengi..

je,unadhani hii inaongeza uhuru wa kujiachia zaidi?
Japokuwa umwesema huwajui wengi humu
je, una mawasiliano nao zaidi ya humu(like simu n.k)
 
Back
Top Bottom