Exclusive interview: Online dating(uchumba-ndoa)

U need to polish your interviewing skills....this is the worst interview i've read in JF.

I aint no hater, im just being honest.
 
U need to polish your interviewing skills....this is the worst interview i've read in JF.

I aint no hater, im just being honest.
Sijawahi kufikiria criticisms kama ni hating bro.. I always take it as way to pave.

ndiyo mara ya kwanza ndiyo maana. Shida nini...questions, languages, or?
 
Sijawahi kufikiria criticisms kama ni hating bro.. I always take it as way to pave.

ndiyo mara ya kwanza ndiyo maana. Shida nini...questions, languages, or?
Maswali too predictable. Hakuna seriousness kutoka kwako,unaemhoji na wasomaji. Haijulikani nani anauliza,nani anaulizwa.

Wasomaji wanauliza,wanajibu yaani vurugu tupu na hio yote ni kwasababu wewe umeshindwa ku control situation.
 
Ni kweli watu wanazingua nilimwomba paw anisaidie kuhariri hizo comments zingine lkn sijui kwann hajafanya hivyo. Watu niliwaomba watulie lakini wapi nafikiri waliendeleza ule utani wangu na wao sehemu tuwapo nyuzi zingine.

.interviewee ilinichukua muda kumpa ujasiri maana alikuwa hatak anaona aibu na aligoma kuulizw technical quest. Vingine nitarekebisha mkuu.
 
Interviewee mwenyewe mwoga, anataka simple questions, mara amechoka anataka akalale[emoji16]. Hii kitu inahitaji mtu jasiri anayeweza kujibu kila anachotupiwa[emoji12]
 
Siyo mbaya ukichukulia kwamba ni mwanzo, ila nadhani kulikuwa na umuhimu wa kumwandaa mapema interviewee ili muda uwe sahihi, maana amechoka tukiwa bado tunasubiri.

Watu wamefanya interference nyingi sana, wamezingua.

All the best for next interviews, Shunie pia katubania.
 
Ni kweli mkuu.

Najaribu kuwasiliana na mods hizo interference zifute ili baadae tuendelee.
Cc Cookie Paw JamiiForums Fang Moderator Active Mod 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…