Exclusive interview: Online dating(uchumba-ndoa)

Wadau naona shunie kapotea.
Mamdogo kama mida za kumhudumia shemeji zimefika tunaweza kuquit na kuendelea wakati mwingine.

Samahanin wakuu tulichelewa kuanza ndiyo maana hii changamoto imejitokeza.
 
Wow, kumbe kuna watu mnapendana na mmejuana kupitia JF HONGERA japo umetuachia maswali mengi.

Maswali bado bado. Naomba univumilie kidogo.

Unahisi ni changamoto zipi kupata mpenzi kupitia mtandaoni? Zinaweza kuepukika? How
Yani weqe jamaa unamfungua ili aingiebkingi umchape
 
Wadau naona shunie kapotea.
Mamdogo kama mida za kumhudumia shemeji zimefika tunaweza kuquit na kuendelea wakati mwingine.

Samahanin wakuu tulichelewa kuanza ndiyo maana hii changamoto imejitokeza.
Pamoja chief...... Hukupanga sub????
Yani kaa vipi joanah achukue nafasi....
 
Wow, kumbe kuna watu mnapendana na mmejuana kupitia JF HONGERA japo umetuachia maswali mengi.

Maswali bado bado. Naomba univumilie kidogo.

Unahisi ni changamoto zipi kupata mpenzi kupitia mtandaoni? Zinaweza kuepukika? How
Changamoto za kuziepuka unajua mtu anaweza kukufata labda amekutamani tu sbbu unavutia kikubwa ni kusomana na kujua huyu mtu ni sahihi

Bamdogo punguza bas maswali makali
halaf nasinzia
 
Changamoto za kuziepuka unajua mtu anaweza kukufata labda amekutamani tu sbbu unavutia kikubwa ni kusomana na kujua huyu mtu ni sahihi

Bamdogo punguza bas maswali makali
halaf nasinzia

Changamoto: ni kutamaniwa badala ya kupendwa
na njia: umesema ni kumsoma mtongozaji kabila ya kumkubali. That's Nice.

Kama unasinzia na kesho ni siku ya kazi nikutakie usiku mwema mamdogo naomba kesho utenge muda tumalizie wadau wanamaswali mengi saana..usiku mwemaa.
 
sawa bamdogo usiku mwema tutaonana kesho mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…