Labda kwanini haujawahi? Hakuna mwanaume aliyejitokeza mtandaoni na kukutongoza au wanakuja wasiokidhi vigezo unawakatalia? Maana kwa ulivyo maarufu hapa lazima utakuwa umetongozwa tu.Sijawahi ila nina mifano kadhaa kupitia rafiki zangu
hata sijui ivuga eb nisaidie kumuulizaAsikuulize maswali makali.
Afu mwisho wa interview unapewa nini?
hahahhhWe ndio mamdogo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mda wa kusali umefika Ambiele
Mimi pia ila ngoja kwanza Daby asijenipigisha magoti mbele ya kadamnasi[emoji40]mekumiss
Nimepigwa onyo Na Chairman Nisubili [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]mda wa kusali umefika Ambiele
hata sijui nianzie wapi naishkuru jf nina baadhi ya watu wamevuka mpk urafiki nipo wananipenda na tunapendana sanaLabda kwanini haujawahi? Hakuna mwanaume aliyejitokeza mtandaoni na kukutongoza au wanakuja wasiokidhi vigezo unawakatalia? Maana kwa ulivyo maarufu hapa lazima utakuwa umetongozwa tu.
Hongera kwa marafiki zako kama mahusiano yao yanaenda vizuri.
Ndio maswali yako hayo [emoji15]Nimepigwa onyo Na Chairman Nisubili [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Afu Shunie Ulichomfanya Ndugu yangu Fakalava Sio Kitu Cha Uungwana kabisa[emoji12] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakika ilo nalo neno tena muhimu sanaNingependa nikutane na mtu iwe love at the first sight,haya mambo ya online dating mtu ana ghairi mawawazo baada ya kukuona live. Wakati huo umepoteza muda mwingi kuchat na kuongea kwenye simu.
no Saint Ivuga ila ukiangalia post anavyokaribishwa mamdogo... kuna commet ya kwanza mamdogo kajibu.. sasa jina naona limeandikwa gentlemanx ndo sijaelewa hapo..!!!!We ndio mamdogo?
hahahhh pole mamyNingependa nikutane na mtu iwe love at the first sight,haya mambo ya online dating mtu ana ghairi mawawazo baada ya kukuona live. Wakati huo umepoteza muda mwingi kuchat na kuongea kwenye simu.
I am talking through an experience mkuu.Hakika ilo nalo neno tena muhimu sana
[emoji115] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sijaelewa hapa bado...!!!!
We ndio mamdogo?
Nilijenga nyumba kumbe iko angani.hahahhh pole mamy
Wow, kumbe kuna watu mnapendana na mmejuana kupitia JF HONGERA japo umetuachia maswali mengi.hata sijui nianzie wapi naishkuru jf nina baadhi ya watu wamevuka mpk urafiki nipo wananipenda na tunapendana sana
bamdogo maswali hayajaisha nataka kwenda kulala
Hahahhaa huyo anaanzaga pm kabla ya kuja. Lakini Hana madhala.Huyo jamaa anaweza kumhojo akahamia hadi pm. Namjua huyu usimuone hivo
The End... nipo tufuatilie interview ya Daby na Shuniejoanah kumbe upo!!!