EXCLUSIVE INTERVIEW!! Mada: Mapenzi na Pesa......

EXCLUSIVE INTERVIEW!! Mada: Mapenzi na Pesa......

Hivi wanaume wenzangu mbona mnataabika juu ya wanawake?

Sisi wanaume tumekirimiwa uwezo mmoja tu na Mungu, kuamua ni aina gani ya mwanamke tunayetaka kuwa naye.

Katika ulimwengu wa mapenzi, sisi ni kama Simba awindaye naam tumepewa uwezo wa kuchagua ni kitoweo gani kinafaa kwa mlo.

Mwanamke awe anapenda pesa mbele au asiwe anapenda pesa kabisa, binafsi wala sioni kama ananibabaisha.

Jamii ya wanawake wenye mtazamo kama lara 1 haijalishi wapo wengi kiasi gani, hawa wana aina ya wanaume wanaoendana nao.

Sanaa ya utongozaji huwa inaelekeza hizi, jambo la kwanza kabla ya kutupia ndoana unapaswa kutambua aina ya mwanamke umtakaye na ni kwa malengo yapi.

Hivyo kama utahitaji mwanamke wa kutumia chapaa yako kiroho safi, then consult lara 1 otherwise utaonekana a big fat loser.

Hivyo wanaume wenzangu jitambueni kwanza, mwanamke hajakamilika pasipo mwanaume. Leo hii lara 1 anajitapa kwa kuwa nyuma yake wapo wanaume au yupo mwanaume.

Mwambie Himidini huenda akapunguza kulalama juu ya wanawake na pesa na lawama zake (maana ni asili yake) azihamishie kwenye mfumo wa kiuchumi wa nchi.
 
Last edited by a moderator:
kweli best angu@ watu8
the end of the day we need to hv a families
so za kuambiwa, za kusoma jf changanya na zako
 
Last edited by a moderator:
Mwambie Himidini huenda akapunguza kulalama juu ya wanawake na pesa na lawama zake (maana ni asili yake) azihamishie kwenye mfumo wa kiuchumi wa nchi.

Naamini atakuwa amesoma hayo niliyoandika rafiki...
 
Last edited by a moderator:
Kuna haja ya kutafuta kitabu cha THE KOMMON MAN VOL 4. Haya mambo yameelezewa sana mule,utapata nafasi ya kuchukua ulipendalo.
 
Kuwa na itikadi za kipare ni vizuri saa nyingine!!imeandikwa amelaaniwa mtu anayewasahau watu wa nyumbani kwake.Kuhonga ni sawa nakula unga ukianza hauachi,Kuna watu wamejipa majukumu ya ubaba

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hili nalo neno...nadumisha hiyo itikadi kwa sana tu, lol..
mambo gani kufinance viruka njia...wakati nina wazazi ambao watashukuru na kuniombea kila lenye heri!!
 
Mhhhhhhhhh! Ya Dax its kind of Expired coz HE IS AGING SO FAST! Ya petit man still stands but he better cash it in quick because IM OT GETTING ANY YOUNGER EITHER!!!!!!!!!

Swali lilikuwa uta cheat you dream guy for them..?
ukiwa kwenye relationship na ur dream guy?
 
I really doubt kama nitaolewa, becausei have 0 tolerance for upuuzi wa wanaume. An if i ever marry i will always keep it real! Tukichokana SIBEMBELEZI MTU! Im that kind of person who believes mtu aieolewa hata 4 times and she is happy is better than a wife who takes shit, shit, and more shit from his hubby because she is too scared to pursue the pursuit for happiness somewhere else. So she sacrifices he happiness for marriage! Hell no!

I WILL STAY WITH MY HUBBY AS LONG AS MY HUBBY WANTS TO STAY WITH ME!!!!!!! Simple!

And i will treat my hubby nicely if he deserves it. Im usually nice to people who are nice to me.

Nice one.
 
Bado kuna mambo ya msingi ya kuweka sawa hapa..

1. Being a man does not automatically make you "smarter" than all the women. Na ndio maana hadi sasa unaona kuna wanaume wengi tu ambao wanakua outsmarted na women.
2. Being smart kwenye mambo ya mapenzi does not automatically make you smart in other aspects of life. Kwahiyo usidhani kwamba kwasababu mtu fulani anajua jinsi ya kuwa aggressive na anajua mbinu za kuwateka wanaume kimawazo, basi anajua kila kitu. Big No. Kiukweli wanawake wako smart kwenye mambo ya mapenzi kuliko wanaume. Hilo halina ubishi. Ndio maana kila siku nasema mwanamke akidhamiria kumpata mwanaume, ni ngumu sana kwa huyo mwanaume kuchomoka. The vice versa is not true.
3. Kwahiyo sasa.. As a man you stand to lose with this type of a woman maana effort utakazotumia kumpata na kum-maintain ni kubwa na mwishoni utakuja tu kuumia au utakuja kugundua ulichodhani utakipata kwake hakipo.. Heri utafute mwanamke wa kawaida utaenjoy maisha zaidi kuliko kuwa na huyu..!
For instance, kuna vitu wanaume huwa tunapenda kushinda.. basi tu.. Say an argument. Lara1 anakuambia yeye vita yake kuisha maana yake YEYE awe ameshinda..!! Do you see where I'm comming from? Who want that?

Darling Never will i think Men are smarter than women,i am a woman and waaaay smarter than so many men!what i meant was only men smarter than her can go for her!I did not say this lady is perfect but i was looking out on the good side of her!
 
I'm a good judge of character, nikiona mtu abusive au pesa ya mawazo namshit tu.
speaking of facts.
nina uhakika hauna rekodi ama historia yoyote ya kupata marks 100 katika somo moja kwa mitihani yote ya somo hilo hata kama ulikuwa unalijua vyema.
there is no intelligent person on earth who managed to score 100 marks to all attended exams of that particular subject,sometimes it was just an error,sometimes it was just a confusion, sometimes it was just a miss but he/she scored 99% or 98% or 97% or 96 or 95% but it was not 100%.
due to this fact, a day of misjudgement or miss-target will come and is where Mushi will mark the end of your story and it will be too late for you to correct all mistakes done and you will be weeping to get into a trap.
just a matter of facts. usiamini sana kama unaweza kuwa na akili ya kumjua kila mtu ama kuamua kwa usahihi.
take care.
 
Hivi wanaume wenzangu mbona mnataabika juu ya wanawake?

Sisi wanaume tumekirimiwa uwezo mmoja tu na Mungu, kuamua ni aina gani ya mwanamke tunayetaka kuwa naye.

Katika ulimwengu wa mapenzi, sisi ni kama Simba awindaye naam tumepewa uwezo wa kuchagua ni kitoweo gani kinafaa kwa mlo.

Mwanamke awe anapenda pesa mbele au asiwe anapenda pesa kabisa, binafsi wala sioni kama ananibabaisha.

Jamii ya wanawake wenye mtazamo kama lara 1 haijalishi wapo wengi kiasi gani, hawa wana aina ya wanaume wanaoendana nao.

Sanaa ya utongozaji huwa inaelekeza hivi, jambo la kwanza kabla ya kutupia ndoana unapaswa kutambua aina ya mwanamke umtakaye na ni kwa malengo yapi.

Hivyo kama utahitaji mwanamke wa kutumia chapaa yako kiroho safi, then consult lara 1 otherwise utaonekana a big fat loser.

Hivyo wanaume wenzangu jitambueni kwanza, mwanamke hajakamilika pasipo mwanaume. Leo hii lara 1 anajitapa kwa kuwa nyuma yake wapo wanaume au yupo mwanaume.

^^
Uko sahihi sana, tena sana ila ulichosahau ni kinachoendelea ktk toleo la sasa la wanawake!
One word!
Unayopitia sio tunayopitia.. Hakuna aliyezaliwa anajua pesa (si asili) bali mfumo wa maisha ndio unabadilisha mitazamo na kutulazimisha tuone mambo ktk uhalisi.
[ its ok to be different ]
Cc Kaunga
^^
 
Last edited by a moderator:
Some one once told me "almost every lady there is a point anajiuza either directly or indirectly either kwa kujua au kwa kutokujua..." this thread made me remember whatshe told me.
 
Mhh lara 1 Please answer this question for me, I would be very grateful.

Lara? Would you advise your daughter I mean your own flesh & blood to follow this type of life? I mean this business of No free Pumbu and chuna mabuzi mwanzo mwisho?

Please get back here; I was away daytime si unajua family Commitments. I also have one other small question after this……..
 
Last edited by a moderator:
You know sometimes i just think you aint what You claim to be, excuse my instincts lara 1 ..... i don't know....
 
Last edited by a moderator:
i have to end this lara's pathetic side of thinking that not only affects stupid young girls here ,,but affects their future lovin n caring..
.'lara u only need to grow up...umekua ktk mazingira ya bahati MBAYA,, umekiri mwenyewe kwamba YOUR KINSMEN ambao mnashare damu ndo wamepelekea wewe kuwaza hivyo na kuwa njaA na PESA...

STOP ATTRACTING THESE YOUNG GIRLS TO YOUR ILL THINKIN, PESA WILL NEVER GUARANTEE U HAPPINES,, SORY TO THAT PUSS*Y OF UR,,THAT IS BEING SPENT FOR MONEY,UNLUCKY THOSE WALLS CANT SPEAK...
NAKUSHAURI TU KWAMBA PESAA HAITA HALALISHA FURAHA KTK MAISHA YAKO.. WAKATI MWINGNE SIAMIN KAMA U LIVE UR WORDS... ITS A CURSE IF U LIVE THEM NA UNAHTAJI UPONYAJI KIROHO...
OVER.
well said mkuu,God bless u with this.....!mekupenda buree:A S 12:
 
You know sometimes i just think you aint what You claim to be, excuse my instincts lara 1 ..... i don't know....

Your instincts are EXCUSED imply because they are just what they are YOUR INSTINCTS!!!!!!!!!! I too wish your instincts culd do a little bit more LIKE CHANGE me that whatthey usually do which is GIVE YOU FAKE HOPE!

We are who we are, thak you for worrying about me.
 
Mimi im talking about me, and my people. So siwezi kuwasema waawake wote cause sio msemaji wao na awajaniomba nitoe tamko.

But i bet you wanawake wengi ni DELLUSIONAL! They believe in the MYTH OF LOVE!!!!!! Wanashindwa kuelewa LOVE IS OVER RATED!!!!!!!! Ila maisha ni yao chaguo ni lao.

Mh hapo kwa red, pliz naomba unifafanulie maana yake.

kindly pliz
 
Mhh lara 1 Please answer this question for me, I would be very grateful.

Lara? Would you advise your daughter I mean your own flesh & blood to follow this type of life? I mean this business of No free Pumbu and chuna mabuzi mwanzo mwisho?

Please get back here; I was away daytime si unajua family Commitments. I also have one other small question after this……..

YES!!!!!!!! If she can doit freely then she should do it for money! Do you really think nitamshauri mwanangu awe MAMA HURUMA na akitembeze BUREEEEEEEE! Like Seriously?????????

Ahhh wapi! Nitamshauri the usual ASIFANYE na uvumilivu ukimshinda AJICOMPENSATE for her FAILURE and Disappointing me the mom.

Come to think of it, Roho inaniuma sana nikiona mwanafunzi anapigwa pumbu freely na wanume kibao afu anadai nimekosa ada ndo maana nikaacha shule.Au akishapigwa free pumbu anaenda kwa baba yake kuomba hela ya skintight!

The thig ambacho watu hamnielewi ni kuwa MIMI I DO ENCOURAGE WATU WASIANYE KABISAAA! To me msichana ambae hatoi chezo kabisaaa NAMUHESHIMU SANAAA! Ila wale wanaopigwa FREE PUMBU IN THE OF LOVE AWAHURUMIA TU COZ WATACHOMWA MOO BURE BURE.
 
Mh hapo kwa red, pliz naomba unifafanulie maana yake.

kindly pliz

Maana yake ni kuwa LOVE inakuzwaa sanaa as if ni kitu beyond SPECIAL! Ni kitu BABU KUBWA!, Just too much HYPE and ILLUSIONS wakati kiuhalisia HAKINA EFFECT! Wheather you are i love or not KODI YA NYUMBA IKO PALE PALE!
 
ok kiukweli nimekuelewa and your right sana kwakweli.

but inaweza tokea sometimes ukampenda mtu na wala hana cha maana anachokupa, but ofkoz mwanaume asiye na kitu anachoshaje jamani.

ah thanx mwaya kwa ufafanuzi, but haya mambo ni very complicated aisee ila PESA INAHUSIKA SANA LOL
 
Back
Top Bottom