lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
hapa unataka kuniambia wanawake wote jijini wanachuna?
Mimi im talking about me, and my people. So siwezi kuwasema waawake wote cause sio msemaji wao na awajaniomba nitoe tamko.
But i bet you wanawake wengi ni DELLUSIONAL! They believe in the MYTH OF LOVE!!!!!! Wanashindwa kuelewa LOVE IS OVER RATED!!!!!!!! Ila maisha ni yao chaguo ni lao.