Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
Lala 1 mwanaume ndo huwa mtu wa mwisho kuamua matumizi ya kinga(Condom)..Kutokana na life style yako bila shaka Condom kawa rafiki yako wa karibu ili uendelee kula hizi raha maana hatujui kama tuendapo zipo.Swali ushawahi kulala na mtu mkakubaliani avae then wakati wa majambozi akaivua Condom juu kwa juu?kama ilitokea ilikuaje ulivyogundua kama haijatokea ikitokea utafanyaje?
Swal la dogo la nyongeza:Ikitokea umepata mimba kwa mistake zozote upo tayali kuzaa?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Swal la dogo la nyongeza:Ikitokea umepata mimba kwa mistake zozote upo tayali kuzaa?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums