Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,648
ME NI MWANAUME, NARUDIA TENA NI MWANAUME LAKINI KIUKWELI NIMEMWELEWA NA KUMSOMA #lara 1 MWANZO MWISHOOO!! KIFUPI HAPA WANAUME TUMESEMWA KIAINA KUHUSU TABIA ZA KUHONGA OVYO, UKIWA MAKINI KUSOMA HII THREAD UTAELEWA KUWA #lara 1 ana encourage wanaume wachunge mifuko na zipu zao, ukiwa makini zaidi utagundua anafundisha wadada wenzie wasiteseke kwenye ndoa na mahusiano(in the name of love) kwa ujinga ujinga wa kusema 'nampenda ivo ivo'....
Wewe ni binge la genius,
Babu DC!!