shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
Pole mwenzangu. Utalala hata leo.
Haya santeee
Pole mwenzangu. Utalala hata leo.
Inategemea na mwanamke Himidini. Kila mwanamke kwenye hii dunia ana dreams zake na ana focus kwenye kile anachokitaka. Pia malezi huchangia, pesa ya mwanaume ni sawa na kua mtumwa... (thats according to me...)
Wanawake wanaopenda pesa za wanaume ni wengi lakini sio wote.
If i were a man i would have been smarter than her to realise she is smart!Imagine this lady performing other tasks,initiating a business,or a career woman,a mother performing her duties!she is the persistent go getter "Till she gets it".and why would you stand to lose aswell,use her capabilities,she can always back you up!as a man you need to be SMART enough to have such a wifey or girlfriend all in all She is a SMART woman!
Mmeskia mwenzenu anaimba nataka demu asinipende mimi apende verossa,dont just see the negative side of things! LoL
^^
asante kwa kuwa mmoja wao... swali linalonisumbua ni kuwa kwa nini nje ya JF mwanamke ni pesa?
^^
..u U..m. A .LA.Y.A WA AUNTI WA AUNT YAKO UMEUZUNGUMZA WEWE MWENYEWE...
KWANINI WANITOLEA MIMI MAPOVU.
NEXT TIME DONT REFER TO UR CLOSEST..una EXPOSE TABIA ZA UKOO WENU... VERY SORRX
l am not one of them, l am the only one who can be ME.
Anyway, natamani kukuuliza kama hujawai kukutana na msichana/mwanamke asiye abudu pesa!!!!!!
TheChoji tatizo linaanzia kwetu wanaume, na hili lilikuzwa na sisi akina "domo zege" ukifika pochi ndio inakuwa mdomo na kwasababu mwanamke ni bnadam na vizuri anavipenda pesa ikajaa akilini zaidi ya maneno matam. Sahv tunamtafta mchawi kumbe tumejiloga wenyewe.
^^
Being what you are is far best, but valuing what you have completes who you are!!
Mwanzo wanaonekana hawatawaliwi na pesa.. ukiwapa muda ndo unawajua kuwa wanatawaliwa na pesa na si mimi tu ni wanaume wengi
^^
MAMA YAKO MZAZI! SORRY MY BIG BLACK A.SS!!! Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!
. Mi nina aunt yangu 50 mjane anachuna mabuzi hela za maana! Anawachuna hadi waheshimiwa, vibosile cold cash ya hatari.
i DID TALK NOT ABOUT MY MOM,, YOU EXPOSED UR AUNT AS A -----... W..H*O*RE.. IN WRITTINGS...
SO NAKUONA KAMA LOOSER TU... LABDA UIDELETE ILE POST... AND M GONA USE IT TO NAIL U.., POOR lara 1
Bado kuna mambo ya msingi ya kuweka sawa hapa..
1. Being a man does not automatically make you "smarter" than all the women. Na ndio maana hadi sasa unaona kuna wanaume wengi tu ambao wanakua outsmarted na women.
2. Being smart kwenye mambo ya mapenzi does not automatically make you smart in other aspects of life. Kwahiyo usidhani kwamba kwasababu mtu fulani anajua jinsi ya kuwa aggressive na anajua mbinu za kuwateka wanaume kimawazo, basi anajua kila kitu. Big No. Kiukweli wanawake wako smart kwenye mambo ya mapenzi kuliko wanaume. Hilo halina ubishi. Ndio maana kila siku nasema mwanamke akidhamiria kumpata mwanaume, ni ngumu sana kwa huyo mwanaume kuchomoka. The vice versa is not true.
3. Kwahiyo sasa.. As a man you stand to lose with this type of a woman maana effort utakazotumia kumpata na kum-maintain ni kubwa na mwishoni utakuja tu kuumia au utakuja kugundua ulichodhani utakipata kwake hakipo.. Heri utafute mwanamke wa kawaida utaenjoy maisha zaidi kuliko kuwa na huyu..!
For instance, kuna vitu wanaume huwa tunapenda kushinda.. basi tu.. Say an argument. Lara1 anakuambia yeye vita yake kuisha maana yake YEYE awe ameshinda..!! Do you see where I'm comming from? Who want that?
^^
asante kwa kuwa mmoja wao... swali linalonisumbua ni kuwa kwa nini nje ya JF mwanamke ni pesa?
^^
Hivi wanaume wenzangu mbona mnataabika juu ya wanawake?
Sisi wanaume tumekirimiwa uwezo mmoja tu na Mungu, kuamua ni aina gani ya mwanamke tunayetaka kuwa naye.
Katika ulimwengu wa mapenzi, sisi ni kama Simba awindaye naam tumepewa uwezo wa kuchagua ni kitoweo gani kinafaa kwa mlo.
Mwanamke awe anapenda pesa mbele au asiwe anapenda pesa kabisa, binafsi wala sioni kama ananibabaisha.
Jamii ya wanawake wenye mtazamo kama lara 1 haijalishi wapo wengi kiasi gani, hawa wana aina ya wanaume wanaoendana nao.
Sanaa ya utongozaji huwa inaelekeza hizi, jambo la kwanza kabla ya kutupia ndoana unapaswa kutambua aina ya mwanamke umtakaye na ni kwa malengo yapi.
Hivyo kama utahitaji mwanamke wa kutumia chapaa yako kiroho safi, then consult lara 1 otherwise utaonekana a big fat loser.
Hivyo wanaume wenzangu jitambueni kwanza, mwanamke hajakamilika pasipo mwanaume. Leo hii lara 1 anajitapa kwa kuwa nyuma yake wapo wanaume au yupo mwanaume.