EXCLUSIVE INTERVIEW!! Mada: Mapenzi na Pesa......

mbona kila kitu kiko out in the open!! there is a clear cut distinction btn a respectable woman and a -----. one can choose to become either of the two but not both.

------, please read btn the lines:

I see you with your palms in your pants,
you think you got the world in your hands,
you wish to make it spin on your finger,
you wish to become a critical thinker,
but truth be told you are simply a hooker,
cheap or expensive.. just a hooker!!

Gawa chako bure baba eeeh si unacho!? Wafanyie na promotion kabisaaaa.
 
..u U..m. A .LA.Y.A WA AUNTI WA AUNT YAKO UMEUZUNGUMZA WEWE MWENYEWE...
KWANINI WANITOLEA MIMI MAPOVU.
NEXT TIME DONT REFER TO UR CLOSEST..una EXPOSE TABIA ZA UKOO WENU... VERY SORRX

hebu kunywa maiji kidogo, asie na dhambi na atupe jiwe,
 
Hv ile thread ya FUNGA MWAKA ya lara ipo wapiii...i recall nilikuwa naifatilia,af badae siioni..
 
Inaweza kua si halali machoni pa baadhi ya watu BUT IT SURELLY AINT ILLEGAL!!!!! Huibi, hudhulmu, hutapelai, WAJIPOKELEA TUUUU!

CHA KUPEWA SI CHAKUIBA MWENYE MALI NI ZOBAAAA!!!!!!!!!! Mimi hii ni njia halali ya KUFINANCE STAREHE ZANGU mjini. Maisha yangu siendi cape town fish market na hela mshahara nile dinner ya Laki, starehe za millioni uadui sifanyi na pesa za mshahara kamweeeee! MENS CHARITY TAKES ME PLACES!!!!!!!! PLACES NEVER IMAGINE! Men are indeed generous creatures.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ooh God have mercy....indeed they are
Kudanga raha
 
data nahsi kunapointi imekuvuka.. Kunapost anasema "kutoa hela haimaanishi avue pichu, hlo ni swala jingne linalohtaji ushawishi mwingne, anatumia hela yako kwa ajili ni ukatili kukataa huruma yako.

😀😀😀baby uwe unatoa pesa jamaniii
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom