EXCLUSIVE INTERVIEW!! Mada: Mapenzi na Pesa......

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
1,741
2,000
Mambo vipi wanajumuiya ya JF?

Kwa mara nyingine tena niwaalike kwenye interview!!
Leo mgeni ni mmoja tu!

So naomba uchaji uwepo,

Mgeni wetu leo ni lara 1

Mada: Mapenzi Na Pesa..

Naamini kulingana na mada husika tutakuwa na mengi
sana yakuongea,

members wengine tulieni kwa pembeni tu muone mambo,
leo naahidi kuwapa na nyie time kama mtakuwa na maswali
ambayo mimi nitakuwa sijayauliza ila yaendane na Mada!!!

Host: Uran

Karibuni sana.
 
Last edited by a moderator:

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
1,741
2,000
lara 1 karibu sana katika interview...
mambo vipi?
 
Last edited by a moderator:

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
1,741
2,000
Nashukuru! Mambo byeeeeeeeee! Inaonesha mie ndo mpenda pesa sana jamvini humu mpaka umenialika! Ila yote heri!

hahahahahaha!!! kupenda pesa kwani dhambi?
anyway, karibu sana.

week end aje? hope leo umeingiza kadhaa...
 
uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
1,741
2,000
lara 1 naomba nianze kuijuia imani yako kwanza katika hili, hivi kuna mapenzi ya kweli bila pesa?
 
Last edited by a moderator:

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,661
2,000
hahahahahaha!!! kupenda pesa kwani dhambi?
anyway, karibu sana.

week end aje? hope leo umeingiza kadhaa...

Hivo hivo Mashallah mwezi nimeuona huu! Inshaalah! Mwakani kwa kudra za Mola nitaingiza zaidi na zaidi. (Enough with the greetings twende kwa mada fastaaa! Bundle yenyewe a Jero! LOL!)
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,661
2,000
lara 1 naomba nianze kuijuia imani yako kwanza katika hili, hivi kuna mapenzi ya kweli bila pesa?

I dont know about others ila mie sijui nina gunduuu!!!!!!? Nikiamua kumpa mtu bure a.k.a kwa mkopo, a.k.a charity donation sidumu nae kaibisaaa! THEY ALWAYS STAB ME ON THE BACK! Afu nikifikiria FREE PUMBU ndo ananiendesha!!!!! Argggggggghhhhh!!!!!!!!!! Nakisanua fastaaa! Nimgee bure na bado anipande kchwani thubutuuuuu!!!!!!!

In imple language mimi mwanaume asie napesa ni ngum saa KU EARN MY RESPECT!!!!!!!!!!
 
kwako ulianza na nini kwanza? ulianza kuyajua mapenzi kwanza au pesa kwanza?
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
41,653
2,000
sorry kwa kukatiza interview na sign out now naomba lara 1 ajibu baadae hili swali...

ukishampta your dream guy je offer yako kwa Petitman na Dax iko pale pale hata ukishampata your dream guy?
 
Last edited by a moderator:

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,661
2,000
kwako ulianza na nini kwanza? ulianza kuyajua mapenzi kwanza au pesa kwanza?

I think both, coz i grew up with NAUGHTY sisters, ambao niikuwa na pewa PESA niwapelekee all the time, and they used this not so genuine earned money to make some of my bet memories. Mfano some of my best expensie staff my sis bought for me with kind of money. My ssers were cute so wealways LIVED LARGE all our teenage.

So i think this money image stuck in my head since tende age,n i grew up with ideology that A MAN IS ALWAYS ABOUT HIS POCKET!!!!!!!!!!! Though a wanaume mnachangia ni zidi kuamini hivi coz free pumbu wasumbufu mpaka utaomba pooo.!
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,661
2,000
sorry kwa kukatiza interview na sign out now naomba lara 1 ajibu baadae hili swali...

ukishampta your dream guy je offer yako kwa Petitman na Dax iko pale pale hata ukishampata your dream guy?

Mhhhhhhhhh! Ya Dax its kind of Expired coz HE IS AGING SO FAST! Ya petit man still stands but he better cash it in quick because IM OT GETTING ANY YOUNGER EITHER!!!!!!!!!
 
uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
1,741
2,000
I think both, coz i grew up with NAUGHTY sisters, ambao niikuwa na pewa PESA niwapelekee all the time, and they used this not so genuine earned money to make some of my bet memories. Mfano some of my best expensie staff my sis bought for me with kind of money. My ssers were cute so wealways LIVED LARGE all our teenage.

So i think this money image stuck in my head since tende age,n i grew up with ideology that A MAN IS ALWAYS ABOUT HIS POCKET!!!!!!!!!!! Though a wanaume mnachangia ni zidi kuamini hivi coz free pumbu wasumbufu mpaka utaomba pooo.!

ok so hizo pesa ulizokuwa unapewa uwapelekee ulikuwa unapewa na nani?
and its look like una experience kubwa kwa both type of men, those of free and those who u tend to depend on there pocket,
nachotaka kujua zaidi je, ulikuwa na idea hii ya kupata pesa from men's pocket toka ukiwa mdogo?
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,661
2,000
ok so hizo pesa ulizokuwa unapewa uwapelekee ulikuwa unapewa na nani?
and its look like una experience kubwa kwa both type of men, those of free and those who u tend to depend on there pocket,
nachotaka kujua zaidi je, ulikuwa na idea hii ya kupata pesa from men's pocket?

Pesa nilikuwa napewa na wakaka tu waliojipendekeza anga zao. Are you kiding me!!!!!!? Ofcourse hela ya mwanaume ndo hela ya bure na rahisi zaidi kuipata.

I guess where i come from people have lost faith in love. Like unaweza kumwambia mtu i have a new BF! And they are like " What does he buy you? Where does he take you to? Is he loaded! Tell me about the good times" Its never about the person rather what can he accomplish for you? And the view of many is the correct view.

I just roll with THEIR idea! (Dont blame me im just a victim i this merciless society.)
 
oh..sorry sana but why do you think that ur the victim in this merciless society? and u recognize it...
lara 1...una mpenzi? if yes ni wangapi?
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,661
2,000
oh..sorry sana but why do you think that ur the victim in this merciless society? and u recognize it...
lara 1...una mpenzi? if yes ni wangapi?

Ofcourse its the society to blame, for making taking men money look so cool infront of them eyes! Usipochukua pesa za kuchuna unaonekana wakuja jijin na mbio za mwange! LOL! I aint no LOOSER! I cant sit back n watch people look down at me. If they want me to take mens money to earn their respect ill take their control oftheir entere bank account to surpass them! Il jamii ingekuwa inakemea haya mambo tusingefikia hapa.

Mimi nina mpenzi, usually 1 at a time japo RESHUFFLING nazo zinahusika sanaaa. On and off BF pa ninao. (This is becausig im trying so hard to keep my NUMBER small! Sitaki nifikike DOUBLE DIGIT. (Dont bother asking me nimefikia wangapi, cause that is surely non of your business)
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,661
2,000
hahaha..ni hela ya kila mwanaume ama?
then niambie, hii ni njia yako halali ya kujipatia kipato?

Inaweza kua si halali machoni pa baadhi ya watu BUT IT SURELLY AINT ILLEGAL!!!!! Huibi, hudhulmu, hutapelai, WAJIPOKELEA TUUUU!

CHA KUPEWA SI CHAKUIBA MWENYE MALI NI ZOBAAAA!!!!!!!!!! Mimi hii ni njia halali ya KUFINANCE STAREHE ZANGU mjini. Maisha yangu siendi cape town fish market na hela mshahara nile dinner ya Laki, starehe za millioni uadui sifanyi na pesa za mshahara kamweeeee! MENS CHARITY TAKES ME PLACES!!!!!!!! PLACES NEVER IMAGINE! Men are indeed generous creatures.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom