Ex-girlfriend wangu anahisi tumerudiana.

Jogoolakiume

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
15
Reaction score
4
Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi nikiwa kazini aliniambia anataka aje nyumban kesho yake ambayo ni ijumaa nikamwambia nitakuwa kazini.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu NDIO AU HAPANA....ikabidi nimjibu ndio...sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na KUMWAMBIA STOP NDIO NASHINDWA....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....NAOMBENI USHAURI NINI CHA KUFANYA KABLA SIJAMUELEKEZA KWANGU.
 
mmmmmh sasa kama mtoto wa kiume unakosa maamuzi kiasi hicho kumbe ndo maana alikuacha na tena anarudi muda wowote anaotaka..we acha kutudanganya unampenda sema haujiamini,unachoshindwa kumwambia ukweli ni nini..mwambie mimi mapenzi nawe yalishaisha chukua ustaarabu wako kwangu kuna mwenzio so sipendi kumuudhi..full stop!
 
Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi nikiwa kazini aliniambia anataka aje nyumban kesho yake ambayo ni ijumaa nikamwambia nitakuwa kazini.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu NDIO AU HAPANA....ikabidi nimjibu ndio...sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na KUMWAMBIA STOP NDIO NASHINDWA....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....NAOMBENI USHAURI NINI CHA KUFANYA KABLA SIJAMUELEKEZA KWANGU.

siamini kama wewe ni jogoo la kiume
 
niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi nikiwa kazini aliniambia anataka aje nyumban kesho yake ambayo ni ijumaa nikamwambia nitakuwa kazini.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu ndio au hapana....ikabidi nimjibu ndio...sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na kumwambia stop ndio nashindwa....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....naombeni ushauri nini cha kufanya kabla sijamuelekeza kwangu.
yeye anahisi mmeruniana au wewe ndo unahisi mmerudiana, unampenda kweli ila hujitambui tu kuwa unampenda!
 
Ushaur wang kwako ni tafta kila njia umforwadie hii thread ulioituma then uone reaction yake,thanx kama utafanya hivyo

hahahahaha hapo ni ukweli bila chenga....hakuna siasa tena
 
hao ni wa kumega/kugegeda tu kukumbushia enzi zenu lakini siyo kujenga tena mahusiano.
 
Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi nikiwa kazini aliniambia anataka aje nyumban kesho yake ambayo ni ijumaa nikamwambia nitakuwa kazini.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu NDIO AU HAPANA....ikabidi nimjibu ndio...sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na KUMWAMBIA STOP NDIO NASHINDWA....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....NAOMBENI USHAURI NINI CHA KUFANYA KABLA SIJAMUELEKEZA KWANGU.

picha la kihindi hili!

kumbe mnapendana hivyo? tena mnapendana sana na wote mko na wivu sana....hapo kwenye bold ndo pananionesha hivyo!
 
Akijileta we kula vitu, ila msimamo ule ule.

Mwanaume hagomei papuchi hata siku moja.
 
Si ungemkula Tu? Akikataa niite nikusaidie kumkula bhana. Ukumbuke kuvaa nanihino ukiona huna basi paka hata sabuni au mafuta kwasabAbu Maji yenyewe ni madogo ILA Mamba ndio wengi
 
....Usimsogeze kwako kama alijileta malizaneni mtAani sio home tena!
 
Back
Top Bottom