Nimeona ni bora nikutane nae ila co home then nimpe ukweli......
mpango wa kando
mkuu hii huwa inatokea sana, hasa kama ulimpenda sana na bado hujapata replacement! najua upo kwenye dilema ile mbaya.., kuiacha kuichapa papuchi hutaki na bado unaona noumer kumkubalia kirahisi. we fanya hivi, papuchi gonga ila usithubutu kumleta kwako. mkamalizane gest basi.Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi nikiwa kazini aliniambia anataka aje nyumban kesho yake ambayo ni ijumaa nikamwambia nitakuwa kazini.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu NDIO AU HAPANA....ikabidi nimjibu ndio...sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na KUMWAMBIA STOP NDIO NASHINDWA....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....NAOMBENI USHAURI NINI CHA KUFANYA KABLA SIJAMUELEKEZA KWANGU.
By Jogoolakiume![]()
Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi nikiwa kazini aliniambia anataka aje nyumban kesho yake ambayo ni ijumaa nikamwambia nitakuwa kazini.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu NDIO AU HAPANA....ikabidi nimjibu ndio?????...sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na KUMWAMBIA STOP NDIO NASHINDWA....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....NAOMBENI USHAURI NINI CHA KUFANYA KABLA SIJAMUELEKEZA KWANGU.
mkuu hii huwa inatokea sana, hasa kama ulimpenda sana na bado hujapata replacement! najua upo kwenye dilema ile mbaya.., kuiacha kuichapa papuchi hutaki na bado unaona noumer kumkubalia kirahisi. we fanya hivi, papuchi gonga ila usithubutu kumleta kwako. mkamalizane gest basi.
ukishagonga, then fikiria upya kama mnarudiana ndo utampeleka kwako, kama hujaridhika kurudiana nae basi uwe unamalizana nae gest akichoka atasepa..
Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi nikiwa kazini aliniambia anataka aje nyumban kesho yake ambayo ni ijumaa nikamwambia nitakuwa kazini.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu NDIO AU HAPANA....ikabidi nimjibu ndio...sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na KUMWAMBIA STOP NDIO NASHINDWA....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....NAOMBENI USHAURI NINI CHA KUFANYA KABLA SIJAMUELEKEZA KWANGU.
mmmmmh sasa kama mtoto wa kiume unakosa maamuzi kiasi hicho kumbe ndo maana alikuacha na tena anarudi muda wowote anaotaka..we acha kutudanganya unampenda sema haujiamini,unachoshindwa kumwambia ukweli ni nini..mwambie mimi mapenzi nawe yalishaisha chukua ustaarabu wako kwangu kuna mwenzio so sipendi kumuudhi..full stop!
Wewe ndio wale sitaki nataka mtu humtaki halafu unampa mixed signals maana yake nini ehhh?mtu kakuuliza kama unampenda unamjibu NDIO!Ni lazima atafikiria mmerudiana kwasababu umeshamwambia UNAMPENDA!Hujui unachokitaka au?Wewe huyo mpoteze tu au unajichimbia shimo la kujifukia!Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi nikiwa kazini aliniambia anataka aje nyumban kesho yake ambayo ni ijumaa nikamwambia nitakuwa kazini.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu NDIO AU HAPANA....ikabidi nimjibu ndio...sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na KUMWAMBIA STOP NDIO NASHINDWA....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....NAOMBENI USHAURI NINI CHA KUFANYA KABLA SIJAMUELEKEZA KWANGU.
duhh!!! hii shughuli hata mtalibani haweziUshaur wang kwako ni tafta kila njia umforwadie hii thread ulioituma then uone reaction yake,thanx kama utafanya hivyo
kama bado unahisia nae!!!!,na kama ni kimwana kwa kwelikumpa makavu itakuwa shuguli ushauri wangu kama humtaki huna haja ya kukutana nae!!!,huko ni kujitia majaribuni tu!!Nimeona ni bora nikutane nae ila co home then nimpe ukweli......