Ex-girlfriend wangu anahisi tumerudiana.

Ex-girlfriend wangu anahisi tumerudiana.

Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi nikiwa kazini aliniambia anataka aje nyumban kesho yake ambayo ni ijumaa nikamwambia nitakuwa kazini.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu NDIO AU HAPANA....ikabidi nimjibu ndio...sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na KUMWAMBIA STOP NDIO NASHINDWA....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....NAOMBENI USHAURI NINI CHA KUFANYA KABLA SIJAMUELEKEZA KWANGU.
Wanaume kama wewe ni Re bound...kaenda huko alikokwenda anatafuta pa kupumzikia..kidume hauna maamuzi..hahahahaha...!!!!
 
Jogoolakiume......................... acha kuusemea moyo wako. Usikilize kwa tuo maana ni kama vile moyo wako unaongea vingine na mdomoni/mkononi watoa mengine. Usiudhulumu moyo. Wengi hapa wanamhukumu huyo binti ambaye wewe hata hukutwambia mliachanaje, alikukosea au wewe ndio ulimkosea n.k hata asideserve a second chance?
 
Last edited by a moderator:
......"msukule!" 😀

Haraka tafuta tiba mbadala itayokufanya ujitambue wewe ni nani, upo wapi na unafanya nini kuitendea haki nafsi yako!

Sitisha hayo mawasiliano if you can't mean what you say!
 
Mapenzi ya aina hiyo yanaghalimu sanaaaaa.......!Hujui wapi mtu kapuyangia huko alafu anajileta tu,ushinde moyo au kama unarudiana nae bas kwa tahadhar sana.
Ila waonekana bado wampenda!

....Anamuogopa!!!!! 😀 hahahahaha....
 
Acha fix. Unampenda wajikaza tu. Ushauri: kama mlitengana kwa ugomvi fahamu anakutafuta apate nafasi alipize kisasi. Atakata hiyo kitu.
 
Heeeee kumbe,bas aendelee kumuogopa vizuri mkuu Mbu.
Ila sidhani,zaidi naona anampenda swtito wake.

.....😉 inawezekana kweli? Hebu msome hapa....;

.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu NDIO AU HAPANA....ikabidi nimjibu ndio...

"Her" Requests are "His" Commands! halafu anaendeleaje?.....

....sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na KUMWAMBIA STOP NDIO NASHINDWA....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....NAOMBENI USHAURI NINI CHA KUFANYA KABLA SIJAMUELEKEZA KWANGU.

Sultani 'hofu!' 😉
 
Last edited by a moderator:
.....😉 inawezekana kweli? Hebu msome hapa....;

"Her" Requests are "His" Commands! halafu anaendeleaje?.....

Sultani 'hofu!' 😉

Anampenda hakuna lingine hapo.....!na mwanamke analijua hilo ndo maana anajambisha tu muda wowote anajua atarudi.Wenyewe ndo wanajua walikosana nn na hakuna lisilosameheka,wasamehane kama vp.
 
Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi nikiwa kazini aliniambia anataka aje nyumban kesho yake ambayo ni ijumaa nikamwambia nitakuwa kazini.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu NDIO AU HAPANA....ikabidi nimjibu ndio...sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na KUMWAMBIA STOP NDIO NASHINDWA....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....NAOMBENI USHAURI NINI CHA KUFANYA KABLA SIJAMUELEKEZA KWANGU.

ushauri wa nini na demu mwenyewe mnapendana si yeye wala wewe kula mzigo huo acha undezi..
 
Anaa mimba huyo, naona anataka akupe kesi. Ashajua we ni dhaifu
 
Unataka kusema hawezi fanya Maamuzi bila kuichapa Hiyo papuchi kwanza, kweli kuna watu wanajua kutoa ushauri wa giza Nimeamini
usinichukulie hivo dadaa, nimempa ushauri kulingana na hali aliyonayo, angekuwa ni wa kuiacha kuichapa wala asingeomba ushauri.. ila sasa kuichapa anataka. anachotaka kujua ni baada ya kuichapa afanyeje!!
 
Kuomba ushauri ni jambo zuri sana laknini kumbuka ushauri mzuri hutolewa na mtu aliye karibu na wewe au anayekufaham wewe na huyo x wako. Kwa hapa utapata ushauri lakin sidhan kama unaweza kuwa mzuri kias cha kukidhi level uitakayo.. ntatoa sababu hizi hapa.
1. Haujatuambia mlikutana vipi
2. Mliachana vipi/sababu
3. Uhusiano wenu ulikuwaje kwa maana ya either mlipanga kuish pamoja baadae or ilikuwa kudate tu.
4. Ukomavu/umri wa penz lenu kabla ya kuachana.
Kwa anayeyajua haya yote anaweza kukupa ushauri mzuri sana. Asante
 
Back
Top Bottom