Ex anapokutafuta jua huko aliko limemfika

Watu wengine huwa hawaelewi na hivyo kupelekea kusababishiwa matatizo kwenye mahusiano mapya yao au yawenzao,mimi mwanaume nisipokuoa wewe dada,jua kwamba nilikuona hunifai kuwa mke wangu,kitendo cha mimi kumuoa mwanamke mwingine nakuja baadae kukutafuta ili tufanye mapenzi haimaanishi kua wewe ni mzuri kuliko yule niliyemuoa bali yawezekana nimekwaruzana na mke wangu hivyo nikaja kwako ili nipoteze muda tu halafu baadae ntarudi kwa mke wangu mwenye sifa zakua mke.Pia mimi mwanaume kumtafuta mpenzi wangu baada ya muda flani yawezekana kuna vitu ambavyo mimi nimeona siyo hekima kumfanyia mke wangu na anayestahili kufanyiwa ni mpenzi wqngu wa zamani kwasababu tulikua tunafanya navikanifanya nimuone hafai kua mke labda nimfanye tu halafu kila mtu aendelee na mambo yake nasio kuoa.Vilevile naweza kumtafuta mpenzi wangu wa zamani kwasababu mke wangu amejifungua,hivyo nikaona ex wangu ndiyo mbadala.Kuna sababu nyingii ambazo ningezitoa hapa ila hizo zinatosha,kwani kuna ambazo ni sababu chanya pia.Tutunze mahusiano yetu tuliyonayo na tusipende kurudirudi kwenye mahusiano yaliyopita kwani hatujui kapitia mangapi kabla hajakurudia.
 
Hatutaki mazoea kuzoeana.....
Bora atulie afanye yake kuachana ni kuachanatu hakuna kuachana vizuri wa vibaya .
 
Angekuwa na raha huko aliko unafikiri angelumbuka hizo enzi?
C mara zote tukiwakumbuka inakuwa tpo kwenye msoto mm juzi juzi hp nimetafuta namba za kipenzi changu cha zamaaaaani kaolewa now ila maisha anayoishi(jinsi nlivyo hadithiwa lkn cjashuhudia kwa macho) c mazuri kwa upande wng alhamdulillah c tajiri ila nko financially enough still mm ndie nkawa wa kwanza kumtafuta so inategemea na mtu cna shida yeyote kwake zaidi ya kumpiga sapoti cwezi tamka mdomoni ila moyoni nakiri kachuja hawezi kuwa nami kwa ss CBA mzuka nae namuonea huruma tu ile life anayoishi cwezi kumtupa nimebadilisha maisha yke kwa kiasi flan c kwa ujanja wng!
 
paprika" sasa anayekutembelea nyumban si ndio mzur jaman?
 
Ubarikiwe lakini huyu jamaa baada ya kuongea nae ni kuwa huko kumebuma anataka 'babe come back'
 
Watu wengine huwa hawaelewi na hivyo kupelekea kusababishiwa matatizo kwenye mahusiano mapya yao au yawenzao,mimi mwanaume nisipokuoa wewe dada,jua kwamba nilikuona hunifai kuwa mke wangu,kitendo cha mimi kumuoa mwanamke mwingine nakuja baadae kukutafuta ili tufanye mapenzi haimaanishi kua wewe ni mzuri kuliko yule niliyemuoa bali yawezekana nimekwaruzana na mke wangu hivyo nikaja kwako ili nipoteze muda tu halafu baadae ntarudi kwa mke wangu mwenye sifa zakua mke.Pia mimi mwanaume kumtafuta mpenzi wangu baada ya muda flani yawezekana kuna vitu ambavyo mimi nimeona siyo hekima kumfanyia mke wangu na anayestahili kufanyiwa ni mpenzi wqngu wa zamani kwasababu tulikua tunafanya navikanifanya nimuone hafai kua mke labda nimfanye tu halafu kila mtu aendelee na mambo yake nasio kuoa.Vilevile naweza kumtafuta mpenzi wangu wa zamani kwasababu mke wangu amejifungua,hivyo nikaona ex wangu ndiyo mbadala.Kuna sababu nyingii ambazo ningezitoa hapa ila hizo zinatosha,kwani kuna ambazo ni sababu chanya pia.Tutunze mahusiano yetu tuliyonayo na tusipende kurudirudi kwenye mahusiano yaliyopita kwani hatujui kapitia mangapi kabla hajakurudia.
You have said it all mkuu
 
Mitu
Ila niongee tu ukwel mi huwa tunaongea lakin ts not like mwanzo akinitext hi mi hi kavuuu bhasi siwez mtakia mabaya akihitaji msaada bhasi ntamsaidia na pia kusema yote hayo sijawahi achana na ex kwa mitusi maugomvi ivo so ikitokea akipita na salam huwa nami ni binaadam siwez mkaushia ila akijiona almasi hapo ndo kama paka na chui
Mitusi mara nyingi inakuja pale ambapo mmoja hajakubali matokeo kuwa mapenzi yamekwisha na mara nyingi muachaji anakuwa ameshapata pa kushika
 
Ubarikiwe lakini huyu jamaa baada ya kuongea nae ni kuwa huko kumebuma anataka 'babe come back'
Shukran ubarikiwe pia ila mi mtu akiondoka kwa mbwembwe huwa namsubiri kwa hamu sana arudi hlf ntakachofanya ibilisi mwenyewe anafumba macho asione kuna mmoja nlikuwa nae kpnd kimoja na hyo nlohadithia hpo juu aliniacha kwa nyodo sana 2014 ile kaja kuntafuta 2016 nliinua mikono juu nkasema asante baba a time has come nlimsubiri kwa hamu sana takribani miaka 2 kle alikoenda no ndoa no uchumba kuja kwangu ndio hakufai kabsaaaaa bora arudi klekle maana hzo zereu nnazomfanyia najifanya nna maisha khtr ctaki mazoea hata kdg daily analia tu hadi kazoea ss mwenzie tuliachana kidiplomasia anakula pensheni yke saaaaafi kabisa nimemuinclude kwenye payroll yng mwisho wa mwezi nkitoa mpunga kwa madogo nae pia ndani!
 
Yani kuna mtu anataka kunitilia mchanga kitumbua changu, kuna huyu ex wangu ananisumbua aise hadi kero wakati kashazalishwa watoto lakini bado anaendelea kunisumbua yani simuelewi kwa kweli nimejarbu kumblock sahv atlest ingawa bado huwa ananipigia kwa namba ngeni nyingine, nashindwa kuelewa ni nini kinamsumbua mpaka kutaka kunitilia kitumbua changu mchanga.
Mara nyingi inakuwa hali yake ya uchumi haijatengemaa na hawezi kuwa maskini jeuri
 
Shukran ubarikiwe pia ila mi mtu akiondoka kwa mbwembwe huwa namsubiri kwa hamu sana arudi hlf ntakachofanya ibilisi mwenyewe anafumba macho asione kuna mmoja nlikuwa nae kpnd kimoja na hyo nlohadithia hpo juu aliniacha kwa nyodo sana 2014 ile kaja kuntafuta 2016 nliinua mikono juu nkasema asante baba a time has come nlimsubiri kwa hamu sana takribani miaka 2 kle alikoenda no ndoa no uchumba kuja kwangu ndio hakufai kabsaaaaa bora arudi klekle maana hzo zereu nnazomfanyia najifanya nna maisha khtr ctaki mazoea hata kdg daily analia tu hadi kazoea ss mwenzie tuliachana kidiplomasia anakula pensheni yke saaaaafi kabisa nimemuinclude kwenye payroll yng mwisho wa mwezi nkitoa mpunga kwa madogo nae pia ndani!
Offer iliyoko mezani ni nono mno aandike maumivu tu.
 
Ex wangu mmoja chizi sana, alitaka turudiane nikakataa. Akanitukana sana uzuri sikumtukana hata tusi moja. Ni afisa wa jeshi la polisi. Nikaona kafungua akaunt mpya fb kama ilivyo ada, fb wanakuletea letea watu wa kuomba urafiki. Nikarequest friendship. Akanitumia message kwenye simu yangu kuwa.....kombora lako nimeliona nimelikwepa. Nikajichekea tu nimekaa kimya. Najua kunisahau ng'o na ubaya namba zangu alijikaririsha kichwani na hazifutiki. Huwa ananisalimu lakini. Kuachana sio vita.
 
Sina Ugomvi Na Ex wangu.

Na mara zote kwenye break-ups huwa nakuwa mdogo na kukubali blames zote. Situkani wala sileti ubabe wowote. Nakubali yote aondoke kama mshindi.

Sasa nikianza Relationship mpya namwelezaga mwenzangu mapema tu kuwa sitaki na sipendelei yafuatayo
1. Mawasiliano na mwanaume yasioeleweka End Game yake ni nini.

2. Utani na mazoea yako ya ofisini na wanaume naomba yaishe saa kumi na nusu mkifunga ofisi, yaanze tena saa mbili kamili mkifungua ofisi. Sitaki kusikia mara simu yake mara text ake nyumbani, otherwise ni jambo la msingi la kikazi mtu alisahau mnakumbushana au kupeana Heads-Up kuwa kuna issue hii na hii inakuja ofisini.

3. Japo uhuru huo (Namba 2) juu nimempa, lakini sitaki nipige simu ukiwa ofisini halafu mwanaume mwingine awe analeta mzaha wakati unaongea na mimi, ni bora usipokee ntaelewa. Ofisini kwako sitakuja, na ikibidi kuja ni kwa taarifa maalum ntakupa mapema.

4. Mawasiliano yeyote ya wewe na Ex wako ni Deal Breaker. Ni nini hicho ambacho hamkumaliza mmekumbuka leo? Kumbuka mwanaume huyu alikuona uchi na wewe ulimuona uchi so wakati mnazungumza kuna some "Devilish Imaginations" zinaendelea vichwani mwenu, sio kazi ngumu kuharibu amri ya sita from there. Sitaki hizo pigo kabisa

5. Usela na Ubest friends na wanaume sitaki. Kama hao ni best friends wako, WHO AM I? Sexmate? If we dating kwanza we are buddies, best friends na lovers. Hao wengine wanapata wapi room hapo?

Tukikutana barabarani tutasalimiana, mkikutana barabarani msalimiane. Ila hii kupigiana simu, kutext ni MAZOEA ya kiboya sana.
Na mnaong'ang'ania hayo mazoea nawashangaa sana, kwani kama ulishawahi ku-date mtu ndio leseni ya undugu? Get A Life
 
Ex wangu mmoja chizi sana, alitaka turudiane nikakataa. Akanitukana sana uzuri sikumtukana hata tusi moja. Ni afisa wa jeshi la polisi. Nikaona kafungua akaunt mpya fb kama ilivyo ada, fb wanakuletea letea watu wa kuomba urafiki. Nikarequest friendship. Akanitumia message kwenye simu yangu kuwa.....kombora lako nimeliona nimelikwepa. Nikajichekea tu nimekaa kimya. Najua kunisahau ng'o na ubaya namba zangu alijikaririsha kichwani na hazifutiki. Huwa ananisalimu lakini. Kuachana sio vita.
Mkuu kuachana si vita hata zone za hi hi si mbaya mbaya ni pale anapojiona kuwa yeye ni kidume sana na anauwezo wa kurudi saa yeyote
 
Mara nyingi inakuwa hali yake ya uchumi haijatengemaa na hawezi kuwa maskini jeuri
Mmmh kwa huyu sidhani kama nishida ya hela sababu hajawai niambia kuwa anashida ya kifedha nimsaidie, ninachoona mimi ni kama anataka anihariburie mahusiano yangu ya sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom