Ex anapokutafuta jua huko aliko limemfika

Habari za J2 wapendwa,

Iweje mtu mliaeachana akaenda na miaka ikapita Leo anakutafuta eti ninakujulia hali wakati na wewe uko kwenye penzi tamu huko uliko. Anataka mpenzi wako mpya ahisi una ka-affair?
Mambo ya kutiliana kitumbua mchanga si mazuri kabisa.

Waungwana hili limekaaje?
Kwanza anakutia NUKSI.
[emoji23]
 
Anataka kukumbushia enzi zile. [emoji23][emoji23]
 
Kuna mmoja jana ananiuliza "upo wapi sijakuona siku nyingi nimekukumbuka " nikamjibu nimekufa hapa nakusubiri wewe ufe twende wote kuzimu, jiandae muda wowote kwanzia sasa kufa, hajanitext tena hadi muda huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu wee kiboko yaoo looo mbavu zanguu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kawaida tu mimi x wangu aliniacha na nyodo na kusema yeye haachwi anaacha lakini baada ya miaka 2ananifuata na kutaka msaada namsaidia kama kawaida
 
Habari za J2 wapendwa,

Iweje mtu mliaeachana akaenda na miaka ikapita Leo anakutafuta eti ninakujulia hali wakati na wewe uko kwenye penzi tamu huko uliko. Anataka mpenzi wako mpya ahisi una ka-affair?
Mambo ya kutiliana kitumbua mchanga si mazuri kabisa.

Waungwana hili limekaaje?
Kwanza anakutia NUKSI.
[emoji23]

Jamani haya mambo ya salamu kwenye whatup wakati umeshaanza kuwa free na mtu wako mpya simu unaiacha popote
Ni kweli, anaweza akaweka vineno vya kishetani ikaleta shida.
Akishaenda aende tu,labda tukutane streets tusalimiane ila mawasiliano HAPANA
 
Ukiona bado una hasira nae ujue bado una mpenda,na mliachana kwa kutegeana nani amuombe msamaha mwenzie.Mie yakinizidi kwa wife nampigia simu ex wangu namsimulia weee hadi ananionea huruma.Ila nikiwa na kosa mimi ananishauri niombe msamaha isije kutokea kama tulivyoachana.
Hii imekaa poa, nashukuru
 
Kuna mmoja jana ananiuliza "upo wapi sijakuona siku nyingi nimekukumbuka " nikamjibu nimekufa hapa nakusubiri wewe ufe twende wote kuzimu, jiandae muda wowote kwanzia sasa kufa, hajanitext tena hadi muda huu.
Acha mambo yako wewe! Ndio umeamua kunitangaza huku!?
 
Habari za J2 wapendwa,

Iweje mtu mliaeachana akaenda na miaka ikapita Leo anakutafuta eti ninakujulia hali wakati na wewe uko kwenye penzi tamu huko uliko. Anataka mpenzi wako mpya ahisi una ka-affair? Mambo ya kutiliana kitumbua mchanga si mazuri kabisa.
Waungwana hili limekaaje?
"Baby Come Back" yanoga lakini! Acha kabisa, mpe tu mama...twaishi mara moja tu anyway..
 
Habari za J2 wapendwa,

Iweje mtu mliaeachana akaenda na miaka ikapita Leo anakutafuta eti ninakujulia hali wakati na wewe uko kwenye penzi tamu huko uliko. Anataka mpenzi wako mpya ahisi una ka-affair?
Mambo ya kutiliana kitumbua mchanga si mazuri kabisa.

Waungwana hili limekaaje?
Kumbe ni kujuliana hali tu!?

Kwangu naona hili sio isue sana labda akihitaji kupasha kiporo
 
Aende zake, salamu ya nin? Baada ya salamu mtaongea nin au ndio itakuwa salamu kila siku. Kuna kitu anataka sio bure. Hv mnaosemaga mliachana vizur huwa mliachanaje? Mi tukiachana tu hatuwez kuwa marafik tena
 
Kuwasiliana na ex risk sana
Mi sipendi kuwasiliana na niliyeachana nae
Aseeh pole.

Ila kama mimi ndiye ex wako hata ukiwasiliana na mimi hamna shida maana kwanza siwezi kukutafuta kama sina la kukuambia pili nakuona kama dada yangu... in short habari za mapenzi ukinikumbushia tutagombana
 
Mnaliamsha sio...

Ila wanawake huwa ndiyo wanawachukia x wao. Ila kwangu salamu zipo sema kurudi ndiyo siwezi
Hahah kuna ile hamja gombana wala nini kila mtu kala 50 zake......

Siku mnakumbukana
 
Aseeh pole.

Ila kama mimi ndiye ex wako hata ukiwasiliana na mimi hamna shida maana kwanza siwezi kukutafuta kama sina la kukuambia pili nakuona kama dada yangu... in short habari za mapenzi ukinikumbushia tutagombana
Tatizo linaweza lisiwe upande wako kabisa

Ila mimi sasa ikitokea yale mawasiliano yakanifanya nizikumbuke enzi nikaanza kupenda upya(kumbuka muda huo wewe unanichukulia kama Dada yako kama ulivyosema)

Sasa kuepusha hizo risks za kuumia moyo upya ni bora nisitishe mawasiliano milele
 
NIKIACHANA NA MTU PLZ KWANZA KABISA ASAHAU KAMA AMEWAHI KUWA NA NAMBA ZANGU AFTER ALL AKIPIGA SIMU NINACHOMWAMBIA HATORUDIA TENA KUTUMIA NAMBA YANGU KTK HII DUNIA
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Tatizo linaweza lisiwe upande wako kabisa

Ila mimi sasa ikitokea yale mawasiliano yakanifanya nizikumbuke enzi nikaanza kupenda upya(kumbuka muda huo wewe unanichukulia kama Dada yako kama ulivyosema)

Sasa kuepusha hizo risks za kuumia moyo upya ni bora nisitishe mawasiliano milele
Duh kweli kama una hizo basi ni shida aheri ukae mbali
 
Pole kwa kubughudhiwa ndani ya penzi jipya! Badili no ya simu kuepuka usumbufu...
 
Habari za J2 wapendwa,

Iweje mtu mliaeachana akaenda na miaka ikapita Leo anakutafuta eti ninakujulia hali wakati na wewe uko kwenye penzi tamu huko uliko. Anataka mpenzi wako mpya ahisi una ka-affair?
Mambo ya kutiliana kitumbua mchanga si mazuri kabisa.

Waungwana hili limekaaje?

Ni vyema siku za usoni ku-present CV kwa mpenzi wako mpya. Maana ni kwamba lazima hafahamu kuwa ulikuwa na contract ambayo muda wake umekwisha na haikuwa renewed. Mwambie mpenzi wako amuulize kama ana shida yeyote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom