Ex anapokutafuta jua huko aliko limemfika

Lakini binti amekubali matokeo sasa mtu apogee huko alafu anarudi kama ana affidavit ya mwili wakow
Heshima Mkuu, Oprah wa JF.

Sijaelewa neno "apogee" ila ngoja nikujibu kwa jinsi nilivyokuelewa.Kama nitatoka nje sana, pia uulize swali kwa upya.

Sidhani kama ni busara kumtafuta X wako baada ya kuachana muda mrefu pasina Mawasiliano yeyote na kuja na Masuala ya aidha salamu zisizoeleweka, Mara nahitaji kukuona, Uhitaji wa msaada wa aina yeyote nk.Ila kama mliachana ila bado mkaendelea kuwa na mawasiliano ya hapa na pale si vibaya kushauriana, kusaidizana katika adha mbalimbali nk.

Kusema "kurudi kama ana ashki na mwili wako' pia si jambo la busaraSiungi mkono hilo, ila kama anajirudi katika namna bora pia ni busara kumsikiliza na kumpa ushirikiano katika namna yeyote ile na si kumnyanyapaa na kuwa na majibu ya hovyo kwake tu kwa sababu kajileta.

Nadhani nimejitahidi kukujibu.
 
Mkuu nilitumia simu kupost, ni typing error nilitaka kuandika "apotee"
 
Mkuu Sky Eclat kwenye kichwa cha habari hili neno limemika ni Kiswahili au ni lugha ipi? Nimelisoma more than 10 times lakini sijapata kitu
Heshima Mkuu, BAK !

Pia nililitafakari sana hilo neno ila nilivyoi-husisha na maelezo katika mada nikajua alichotaka kumaanisha.Nadhani Madam kateleza tu sehemu, pia si vibaya kama akitueleza maana ya neno lenyewe kama ni la Kiswahili au kakosea!.

Pia katika majibu yake humu naona leo anakosea herufi/spelling sana.Sijajua tatizo ni nini ila huenda chanzo ikawa ni huyu anayemuita "X".
 
Heshima kwako pia Mkuu Dahafrazeril. Ni kweli hilo la kukosea spelling linamtokea kila mtu Mkuu.

Heshima Mkuu, BAK !

Pia nililitafakari sana hilo neno ila nilivyoi-husisha na maelezo katika mada nikajua alichotaka kumaanisha.Nadhani Madam kateleza tu sehemu, pia si vibaya kama akitueleza maana ya neno lenyewe kama ni la Kiswahili au kakosea!.

Pia katika majibu yake humu naona leo anakosea herufi/spelling sana.Sijajua tatizo ni nini ila huenda chanzo ikawa ni huyu anayemuita "X".
 
Kuna mmoja aliniacha,baada ya X wake kurud kwa spid kaliiii,,
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Similar Discussions

Back
Top Bottom