Ex anapokutafuta jua huko aliko limemfika

Ex anapokutafuta jua huko aliko limemfika

Kumbushia enzi ila tu umtaarifu kuna mwenye mali zake hivyo asichonge mzinga.

Habari za J2 wapendwa,

Iweje mtu mliaeachana akaenda na miaka ikapita Leo anakutafuta eti ninakujulia hali wakati na wewe uko kwenye penzi tamu huko uliko. Anataka mpenzi wako mpya ahisi una ka-affair?
Mambo ya kutiliana kitumbua mchanga si mazuri kabisa.

Waungwana hili limekaaje?
 
Kwa koment zenu tu, mnaonekana wote humu ni magumegume yasiyo ona aibu kuchepuka
 
wachangiaji wote umu ni waongo tu, we mtu x wako mliachana kwa bahat mbaya ma bado unampenda utashindwa kupasha? mm x wangu kibao tu huwa nakumbushiaga, lazima niwe mkwel
 
Habari za J2 wapendwa,

Iweje mtu mliaeachana akaenda na miaka ikapita Leo anakutafuta eti ninakujulia hali wakati na wewe uko kwenye penzi tamu huko uliko. Anataka mpenzi wako mpya ahisi una ka-affair?
Mambo ya kutiliana kitumbua mchanga si mazuri kabisa.

Waungwana hili limekaaje?

second thought: naamini wewe haujawahi kufanya hivyo.
 
Kama ni salamu kwangu naona haina shida.

Inategemea na mazingira/hali yako na X wako. Kama mliacha mkaendelea kuwasiliana pasipokuhusisha mapenzi it's ok. Inahitaji maamuzi ya kweli katika hili.
Mkuu aliondoka kwa mbwe mbwe tena alisema kabisa anaanza maisha mapya sasa huu 'ubest friend' ni msamiati mpya. Kama ninashida ya best friends kheri nitafute niliosoma nao STD one
 
Mkuu aliondoka kwa mbwe mbwe tena alisema kabisa anaanza maisha mapya sasa huu 'ubest friend' ni msamiati mpya. Kama ninashida ya best friends kheri nitafute niliosoma nao STD one
Binamu Kwanza msingi wa yote hutegemeana mmeachanaje, hapo kwenye hiyo story yako seams jamaa "aliondoka kwa mbwembwe" as u said na Mbwembwe huambatana na dharau.

Sasa katika mazingira hayo akianzisha mawasiliano lazima yakukere.

Kingine inategemea huko ulipo sasa makazi mapya jamaa ni wa aina gani na ana/ta tafsiri vipi such scenario. Otherwise mnaweza achana na bado mkabaki washakaji tu msikumbushie au mkakumbushia kutegemeana na mazingira. Zipogo sana hizo
 
Hakukua na watoto kwakua wote tulipanga white wedding bila watoto kwanza.
Kama hakuna watoto mnaweza ongea frankly kwamba nakushukuru for all that _________ an kuambiana kwa uwazi Kuwa yetu yalipita na kuendelea kuwasiliana wasiliana kunaweza sababisha usumbufu usio wa lazima. Kiroho safi mtu muelewa ataheshimu hilo.
 
Habari za J2 wapendwa,

Iweje mtu mliaeachana akaenda na miaka ikapita Leo anakutafuta eti ninakujulia hali wakati na wewe uko kwenye penzi tamu huko uliko. Anataka mpenzi wako mpya ahisi una ka-affair?
Mambo ya kutiliana kitumbua mchanga si mazuri kabisa.

Waungwana hili limekaaje?
Anakujulia hali tu dada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom