Ex anapokutafuta jua huko aliko limemfika

Ex anapokutafuta jua huko aliko limemfika

Kama hakuna watoto mnaweza ongea frankly kwamba nakushukuru for all that _________ an kuambiana kwa uwazi Kuwa yetu yalipita na kuendelea kuwasiliana wasiliana kunaweza sababisha usumbufu usio wa lazima. Kiroho safi mtu muelewa ataheshimu hilo.
kuna wifi yako aliondoka kwa jeur,matuc,fedheha na mbwembe baada ya miez 2 simu alikuwa ananipigia kutwa×3 kumbe na yeye yamemfika???
mkuu huko wanakokwenda kukiwa na uoto wenye neema akukumbuke kwani wewe mjomba wake?
 
Mie nakushuahua tu. Huwezi kuondoka kwa kejeli kisha baadaye uje kuanza kujipendekeza pendekeza wakati nipo ktk mahusiano mapya. Unanipigia swali la kwanza nakuuliza nani mwenzangu? Ukinijibu nakwambia sikujui umewrong number
 
Kuna mmoja jana ananiuliza "upo wapi sijakuona siku nyingi nimekukumbuka " nikamjibu nimekufa hapa nakusubiri wewe ufe twende wote kuzimu, jiandae muda wowote kwanzia sasa kufa, hajanitext tena hadi muda huu.

Mliachana kwa ugomvi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mmoja jana ananiuliza "upo wapi sijakuona siku nyingi nimekukumbuka " nikamjibu nimekufa hapa nakusubiri wewe ufe twende wote kuzimu, jiandae muda wowote kwanzia sasa kufa, hajanitext tena hadi muda huu.
Duh!!!
 
Hahahaah kuna vitu anakua amemiss kwako ambavo huko aliko havipati and he/she wish......

Cc Smart911
 
X- wengine ni kéro nilitemana nae miaka saba imepita ananitafuta cku ya birthday yangu nimebadili line ili asiwasiliane na mm, cku ya birthday tena mara happy birthday my love! Kwenye namba yangu Mpya kuangalia ni X nilikosa hata jibu.hatareeeee.....!
 
Mkuu kitumbua kinatiwa hamira na iriki ili kiwe kitamu
wakati wa kukila...
hivyo siku nyingine usiseme kuwa kitumbua chatiwa mchanga.
Habari za J2 wapendwa,

Iweje mtu mliaeachana akaenda na miaka ikapita Leo anakutafuta eti ninakujulia hali wakati na wewe uko kwenye penzi tamu huko uliko. Anataka mpenzi wako mpya ahisi una ka-affair?
Mambo ya kutiliana kitumbua mchanga si mazuri kabisa.

Waungwana hili limekaaje?
 
Huyu samaki jeuri, haachiki kirahisi

188713.jpg
 
Kuna mmoja jana ananiuliza "upo wapi sijakuona siku nyingi nimekukumbuka " nikamjibu nimekufa hapa nakusubiri wewe ufe twende wote kuzimu, jiandae muda wowote kwanzia sasa kufa, hajanitext tena hadi muda huu.
Hahaha mi ningemjibu hivi nahis angekufa loh
 
Sijawahi kuwaza kuwasiliana na ex wangu,iwe kwa shida au raha. Tukiachana ni jumla kila mtu abaki na 50 zake. Mambo ya kujifanya ananijua jua sitaki kbs.
 
Aende zake, salamu ya nin? Baada ya salamu mtaongea nin au ndio itakuwa salamu kila siku. Kuna kitu anataka sio bure. Hv mnaosemaga mliachana vizur huwa mliachanaje? Mi tukiachana tu hatuwez kuwa marafik tena
Hata mm kwakweli tukishaachana basi ndio jumla,kila mtu abaki kufanya yake. Mambo ya salamu wala sihitaji kbs.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ila niongee tu ukwel mi huwa tunaongea lakin ts not like mwanzo akinitext hi mi hi kavuuu bhasi siwez mtakia mabaya akihitaji msaada bhasi ntamsaidia na pia kusema yote hayo sijawahi achana na ex kwa mitusi maugomvi ivo so ikitokea akipita na salam huwa nami ni binaadam siwez mkaushia ila akijiona almasi hapo ndo kama paka na chui
 
Habari za J2 wapendwa,

Iweje mtu mliaeachana akaenda na miaka ikapita Leo anakutafuta eti ninakujulia hali wakati na wewe uko kwenye penzi tamu huko uliko. Anataka mpenzi wako mpya ahisi una ka-affair?
Mambo ya kutiliana kitumbua mchanga si mazuri kabisa.

Waungwana hili limekaaje?
Yani kuna mtu anataka kunitilia mchanga kitumbua changu, kuna huyu ex wangu ananisumbua aise hadi kero wakati kashazalishwa watoto lakini bado anaendelea kunisumbua yani simuelewi kwa kweli nimejarbu kumblock sahv atlest ingawa bado huwa ananipigia kwa namba ngeni nyingine, nashindwa kuelewa ni nini kinamsumbua mpaka kutaka kunitilia kitumbua changu mchanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom