Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,181
- 7,383
Habari za J2 wapendwa,
Iweje mtu mliaeachana akaenda na miaka ikapita Leo anakutafuta eti ninakujulia hali wakati na wewe uko kwenye penzi tamu huko uliko. Anataka mpenzi wako mpya ahisi una ka-affair?
Mambo ya kutiliana kitumbua mchanga si mazuri kabisa.
Waungwana hili limekaaje?
Ni kawaida kuharibiana haswa kwenu nyie wanawake. Na kwanza iweje huyo ex wako awe na namba yako ya simu?