Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,132
- 2,213
Maza nchi ilimshinda mda sana ni suala la muda tu
Kwenye soko la dunia yameshukaMafuta yana kodi nyingi,na yakipanda kwenye soko la Dunia sisi hatuna la kufanya.
Sina Cha kukueleza ukaelewa, inaelekea haujui lolote.Mbona wakati wa jiwe hajafa petrol tuliuziwa chini ya 2000 kwa muda wote..
Tena mwaka huu kabla jiwe hajafa petrol ilikuwa 1800
Weka linkKwenye soko la dunia yameshuka
Weka link
Hiyo ni Brent na ile Oil ya Opec nayo ni ngapi?Crude Oil Price Today | BRENT OIL PRICE CHART | OIL PRICE PER BARREL | Markets Insider
Oil Price: Get all information on the Price of Oil including News, Charts and Realtime Quotes.markets.businessinsider.com
Nilijua hutaweza kuelewaHiyo ni Brent na ile Oil ya Opec nayo ni ngapi?
Si uniwleweshe!Nilijua hutaweza kuelewa
Umesoma Uzi huu, Bei ya mafuta imepungua soko la dunia. Sasa kwa Nini Bei imepanda hapa nchini.Mafuta yana kodi nyingi,na yakipanda kwenye soko la Dunia sisi hatuna la kufanya.
Ila mafutq kwenye soko la dunia yameshuka toka mwezi huu mwanzoni, sikuona sababu ya kusubiria january
Mtanikumbuka kwa mazuri siyo mabaya!
Kweli hutupendi wa Tanzania, si kwa wishes hizi😭😭Nyie Watanzania ni mazoba sana ,inatakiwa mteseke hadi mnye ,hadi wote muingie Barabarani kuyakataa ma CCM, mnadhani CCM
Usanii mtupu.Waziri aliyeenda ukununua kwa wazalishaji huko umangani imekuwa vipi tena
Kwa nini bei ya mafuta Zambia ipo chini kuliko Tz, wakati mafuta ya Zambia yanapitia Tz?Usanii uko Lumumba huko mimi sio msanii ! Nakuuliza tena mnayesema mtamkubuka aliwezesha kuchimba mafuta bila kuagiza kama jibu ni sio zip your mouth!