EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

Nawalaumu sana EWURA kwani nilitaka wapandishe mpaka Tsh 12,500/= kwa Lita ili Akili zitukae vyema Watanzania..
Heheheheh
Mda mwingine muwe mnaficha ujinga na upumbavu wenu! Huyo Magufuli aloshafariki mnamleta kwenye mjadala wa nini? Huyu mama kama Anashindwa kujisimamia kwenye masuala nyeti kama ya mafuta na gesi nayo imepanda lazima ukweli usemwe! Ila zio kila anayemkosoa mama ni team Magufuli hapo tunaharibu Sana!
watoto wapuuzi sana hao! Yani hawataki mama yao aguswe wanakusingizia wewe ni sukuma gang machoko kweli
 
Cement haishikiki, bidhaa za kila siku majumbani zimepanda bei sio kawaida ngoja labda matanzania yataelewa sasa ccm ipoipo tu kuwakadamiza na sio kuwafanya maisha yao yawe mepesi
 
Back
Top Bottom