EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

Mtanikumbuka kwa mazuri siyo mabaya!
C755D43C-9685-4666-A568-A2572CC28345.jpeg
 
Waziri aliyeenda ukununua kwa wazalishaji huko umangani imekuwa vipi tena
Usanii mtupu.
Kuna Mambo hapa duniani huwezi kwenda kinyume na matakwa ya mabeberu.
Gesi tunayo lkn tunapikia gesi ya nje.
Gesi yetu inaweza kuendesha magari madogo lkn tunanunua petroli toka ubeberuni.
Gesi tunayo ya kumwaga, huku tuna mgao wa umeme.
Waziri yupo
Katibu mkuu yupo
Kanishna yupo lkn wanakula supu ya utumbo tu.
 
Back
Top Bottom