Ni kweli na kwa price hiyo sioni sababu ya nchi iliyosemekana imeingia uchumi wa kati watu wanalialia kununua petrol lita moja kwa 0.97$Ila mafutq kwenye soko la dunia yameshuka toka mwezi huu mwanzoni, sikuona sababu ya kusubiria january

Mtanikumbuka kwa mazuri siyo mabaya!
Ishapita hiyo na hairudi tena!!Mtanikumbuka kwa mazuri siyo mabaya!
Lazma mdanjeHahaha hawa jamaa wanataka kutuua.
Mbona umefura sana?!Tanzania wapi wanachimba mafuta?? Huyo unaesema watamkumbuka aliwezesha mafuta kupatikana bila kufanya importation?
Yaani CCM hovyo kabisa hamjui nani hata anacontrol uchumi wa dunia na biashara kama hizo zinakuwa controlled vipi!
Hafufuki ng'o hata mfanyeje
Magufuli alizaliwa na kuikuta Tanzania na amekufa na kuiacha Tanzania hakuna mtu mkubwa zaidi ya Tanzania yenyewe muendeele kumkumbuka tu.Mbona umefura sana?!
Mda mwingine muwe mnaficha ujinga na upumbavu wenu! Huyo Magufuli aloshafariki mnamleta kwenye mjadala wa nini? Huyu mama kama Anashindwa kujisimamia kwenye masuala nyeti kama ya mafuta na gesi nayo imepanda lazima ukweli usemwe! Ila zio kila anayemkosoa mama ni team Magufuli hapo tunaharibu Sana!Tanzania wapi wanachimba mafuta?? Huyo unaesema watamkumbuka aliwezesha mafuta kupatikana bila kufanya importation?
Yaani CCM hovyo kabisa hamjui nani hata anacontrol uchumi wa dunia na biashara kama hizo zinakuwa controlled vipi!
Hafufuki ng'o hata mfanyeje
Nawalaumu sana EWURA kwani nilitaka wapandishe mpaka Tsh 12,500/= kwa Lita ili Akili zitukae vyema Watanzania..Ewura imetoa taarifa ya kupanda kwa bei ya mafuta kwa mwezi December unaoanza kesho, Bei hii itafanya baadhi ya mikoa kununua mafuta kwa Sh.2750.
Lakini kwa sasa kwenye soko la dunia Bei ya Mafuta imeshuka, Ewura wamesema kushuka huko mafuta kwenye soko la dunia kutaleta mabadiliko mwezi January na February.
Poleni kwa wale wote mtaoathirika hasa wa mikoani, 2750 si Mchezo.
View attachment 2028639View attachment 2028640View attachment 2028642View attachment 2028643
Yapande tuheshimianeEwura imetoa taarifa ya kupanda kwa bei ya mafuta kwa mwezi December unaoanza kesho, Bei hii itafanya baadhi ya mikoa kununua mafuta kwa Sh.2750.
Lakini kwa sasa kwenye soko la dunia Bei ya Mafuta imeshuka, Ewura wamesema kushuka huko mafuta kwenye soko la dunia kutaleta mabadiliko mwezi January na February.
Poleni kwa wale wote mtaoathirika hasa wa mikoani, 2750 si Mchezo.
View attachment 2028639View attachment 2028640View attachment 2028642View attachment 2028643
Jiwe hakuwa na Cha kufanya kwenye mafuta na Wala sio yeye alikuwa anapanga Bei.
Ila pia kwa sasa Ewura wanazingua kidogo,
She has failed the nationTanzania wapi wanachimba mafuta?? Huyo unaesema watamkumbuka aliwezesha mafuta kupatikana bila kufanya importation?
Yaani CCM hovyo kabisa hamjui nani hata anacontrol uchumi wa dunia na biashara kama hizo zinakuwa controlled vipi!
Hafufuki ng'o hata mfanyeje
Uchafu wote uliopo Tanzania umeletwa na Shetani CCM,so hakuna jipyaMtanikumbuka kwa mazuri siyo mabaya!
Nyie Watanzania ni mazoba sana ,inatakiwa mteseke hadi mnye ,hadi wote muingie Barabarani kuyakataa ma CCM, mnadhani CCM ni watu hao?Daah!!! Tunaomba Serikali ya mama yetu msikivu, tuboreshee usafiri wa umma!!!!
Maana hali inazidi kuwa tata!!! Tunakaribia kuweka silaha chini!!!!