Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Nyingi naona nyinyi ndio mnapenda mpigwe, kuna mmoja aliniambia jambo nikastaajabu ananiambia sababu ya umbali wa sasa anataka akija tuchukue video kabisa tukiwa tunakwichi kwichi maana kuna kipindi huwa anamisi ile mikuno, siku akijisikia apigie hata nyeto, maana nyeto za kunivutia hisia na kunitizama kachoka..


Nilichoka, nikajichekea mwenyewe.. Yupo radhi hata nivae mask... Sasa kama hapo wakulaumiwa ni nani!?
 
Inanoga mkuu sema tu ndio mnakua mpo high...

Kwanza mkuu kitu cha kukushangaza kwa hawa wadada ni kipi hapo?

Kwani wewe ukiingia mitandao huwa huoni picha zao walizojipiga wao kwa akili zao na kuzirusha mitandaoni?

Sasa mtu kama huyo akipigwa picha na jamaa yake wakiwa wanangonoka unadhani ataona kitu cha ajabu?
Si ndio napingana na mleta mada kwasababu anawalaumu hao wanaowapiga picha wanawake zao na kuzitupia mitandaoni( kuzianika ) as if wanawalazimisha hao ke kupigwa hizo picha kumbe wabakubali na wanahiyari wenyewe kufanyiwa hivyo
 
Back
Top Bottom