sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,048
- 5,070
Shoo yenyewe ya kuiba bado anataka kunirushia na vidhibiti kabisa,ikabidi nimblock aisee!Yaani kuna wadada hawajitambui serious from nowhere unaanza kumrushia me picture
Shoo yenyewe ya kuiba bado anataka kunirushia na vidhibiti kabisa,ikabidi nimblock aisee!Yaani kuna wadada hawajitambui serious from nowhere unaanza kumrushia me picture
Kwanza ni dharau sana ujue lile tendo linatakiwa utulivu wa hali ya juu. Sasa mara mnapigana picha mara mnarekodiana video wapi na wapi baana weeee !!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unapokea simu upo kifuani kweli sio sawa....
NakaziaMmh. Rafiki akili zinahama huku simu zinakumbukwa lol.
Mie naona si tabia njema. Ila kwa mbaali najiwazia kwa nini haya mambo ni kwa wale wapenzi na sio baina ya Mke na Mume kwa nini?
Au wapenzi wanataka akiba ya silaha za maangamizi ili siku ikitokea kibuti basi zitumike. Teh.
Yaani inakera sana na hizo ni dalili kwamba hana nia njema.Yaani hawanaga ubinadamu kabisa!mwingine anaset camera akukomoe kabisa we unakua hujui!
Nakataaa kata kataYaani hawanaga ubinadamu kabisa!mwingine anaset camera akukomoe kabisa we unakua hujui!
Hahaaa. Na kweli rafikiBasi itakua ni mambo ya ujana tu...
Ni upuuzi tu wala hakuna la maana hapoMmh. Hivyo lengo linakuwaga nini sasa rafiki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza ni dharau sana ujue lile tendo linatakiwa utulivu wa hali ya juu. Sasa mara mnapigana picha mara mnarekodiana video wapi na wapi baana weeee !!!!
Halafu itokee sura ya mwanamke tu? sio kweli nakataa[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwingine anaset camera somewhere
Hahaaaa. Kama mtu hana ubora hana ubora tu rafiki.Labda baada ya game mtu anataka apitie vile ilikua na makosa ayagundue ili next time awe bora zaidi....
Unashangaaa mwingine anavutiwa na maungo yako anakuchukua anakuoa kabisaa unabak unahangaika tena jinsi ya kumuangusha chini mwanamkeSoko huria eeh.. [emoji1]
Mwingine anategesha camera kwa siri pembeni we hujui!Kivipi kwa siri? Kwamba unafungwa kitambaa usoni au?
Mnakubali wenyewe kwa hiyari yenu na ndio maana sura zenu zinaonekana isipokuwa za hao wanaume mnaokuwa nao
Au mnakuwa mmelewa kiasi kwamba hamjitambui??
Ninae rafiki yangu mmoja alinisimulia kwamba alimpliz demu wake ampige picha za uchi wakati wanafanyana eti akakubali kwa sharti la usizirushe mitandaoni( ujinga wa hali ya juu)
Unamwaminije binadamu mwenzio? Simwamini mtu yyt hata siku moja. Binadamu mwenzio mpende tu ila usimwamini, mwamini Mungu tu
Plus ujinga na upuuzi na upumbavuBasi itakua ni mambo ya ujana tu...
Hahah!! Eti hana tu...Hahaaaa. Kama mtu hana ubora hana ubora tu rafiki.
Ila nimecheka lol.
Ndio hapo rafiki. Akili inahama kabisa ndio sababu unakuta mtu anahangaika kuliko kiwango cha Mbalizi mwenyewe kumbe lengo baadae aonekane amejua kumshughulikia kumbe hamna kitu.Kwanza ni dharau sana ujue lile tendo linatakiwa utulivu wa hali ya juu. Sasa mara mnapigana picha mara mnarekodiana video wapi na wapi baana weeee !!!!
Nikweli mkuuPlus ujinga na upuuzi na upumbavu
HahahahLabda baada ya game mtu anataka apitie vile ilikua na makosa ayagundue ili next time awe bora zaidi....
Never ever support thisLabda baada ya game mtu anataka apitie vile ilikua na makosa ayagundue ili next time awe bora zaidi....
Shoo yenyewe ya kuiba bado anataka kunirushia na vidhibiti kabisa,ikabidi nimblock aisee!