Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Habarini waungwana!

Naomba kuwauliza wanaume hapa maana yaonekana wanapenda huu mchezo.

Hivi unaanzaje kumchukua video mpenzi wako mnapokua mnafanya Yale mambo halafu unazirusha kwenye mitandao ya kijamii?

Hivi lengo nini haswa?hamjiskii vibaya au nafsi haziwasuti kwa hicho kitendo?mbona ni udhalilishaji sanaa!!!

Na ukitaka kujua mnafanya haya makusudi Mara nyingi zile video clipo mwanaume haonekani sura zaidi "mdudu" wake tu[emoji22] [emoji22] [emoji22] ila mwanamke anaonekana mpk sura na madoido yote pale kwa majambozi jamaanii!

Wanaume msitufanyie hvyo jamani hata kama mtu ni changudoa au yoyote yule hakuna kitendo kibaya kama kile jamani kinaumaa!

Ule ni zaidi ya uuaji kwa mwanamke!Hivi pata picha Dada ako,mama ako au ndugu yoyote wa kike wa kwako akifanyiwa hvyo utajiskiaje?au hamjui hivi vitu vinaweza kukurudia siku moja kwa namna nyingine?

Mimi bwana ukinifanyia hivi nikishindwa kukuua,sijawahi kuroga mtu ila ntakuroga aiseeehhh!uwe hata chizi maana kwa Mungu mbali kusubiri hukumu!Siwezi kukubali hii aibu aiseeh!

Hata kama tulipiga kwa mapenzi yetu ila kwa nini uzirushe kwenye mitandao tukiachana?

Acheni hiyo tabia mnaumiza sana wanawake.

Mimi siamini kama mwanaume tu ndie anaamua jambo hilo. Nadhani wote mnakuwa mmekutana malimbukeni na hamjui mnachokifanya kama vile mazuzu tu. Haiwezekani, wewe unaona hiyo ni akili ya kawaida? Na kama unasema ni wanaume ndio wanawafanyia hivyo, kwahiyo wewe ukiingia chumbani na mpenzi wako akili yako yote na utambuzi wa kujua jema na baya unayeyuka na kubaki kama garasa? Au mkishawekewa dudu tu akili yote inapotea kiasi kwamba unaweza kumkubalia chochote anachotaka?? Take time to explore the room first and if you find a camera hanging on mwambie aizime aache ujinga...
 
Back
Top Bottom