Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Wengine wanachukua simu anakupiga Picha ukiwa umelala siku mkiachana anaanza kusambaza kwenye mitandao kwa lengo la kukufedhehesha

Wanaume wenye hizi tabia msidhani ndo mbinu ya kumuangusha mwanamke aunt atakosa mpenzi mwingine mnajidanganya sana yani ukifanya hivyo ndo unamfungulia soko mwenzio
Kuna wengine wanatuma bila hata ya kuomba,mi kuna dada tulikua hatujaonana kwa muda,kumtext tu nimekumiss kanitumia picha kibao,nikazifuta muda huo huo!
 
Kweli siyo vizuri kabisa,hili jambo linahitaji privacy saana,mimi huwa hata kuwa karibu tu na simu sitaki!

Sema kuna wadada wengine huwa wanajitakia wenyewe, unaweza ukamtext tu nimekumiss,ukashangaa kakutumia nudes zakutosha bila hata kuomba,
Huyo kichaa halafu kuna uncertainty ya simu kupotea n.k mbaya sana !
 
Lakini mkuu pale mnapokua mnapiga game mnakua kwenye ulimwengu mwingine kabisa ata akili zinakua kama sio zile za kawaida labda ndio sababu....
Mmh. Rafiki akili zinahama huku simu zinakumbukwa lol.

Mie naona si tabia njema. Ila kwa mbaali najiwazia kwa nini haya mambo ni kwa wale wapenzi na sio baina ya Mke na Mume kwa nini?

Au wapenzi wanataka akiba ya silaha za maangamizi ili siku ikitokea kibuti basi zitumike. Teh.
 
Nadhani ni ukosefu wa ubinadamu sababu walio wengi huwa wanaitumia kama fimbo ya kuwachapia wanawake hasa pale wanapokuwa wameachana.

Pia kwa mbaali huwa siibariki hii tabia ya kupigana picha muda wa yale majambo sababu sioni kama kuna faida.

Mie naona hayo mambo tuwaachie wale wafanya biashara wa hizo video za Ngo*o.
Yaani hawanaga ubinadamu kabisa!mwingine anaset camera akukomoe kabisa we unakua hujui!
 
Kwani unakubali unachukuliwa kwa siri?unawajua wanaume au unawasikia?mi na akili zangu ntakubali?
Kivipi kwa siri? Kwamba unafungwa kitambaa usoni au?

Mnakubali wenyewe kwa hiyari yenu na ndio maana sura zenu zinaonekana isipokuwa za hao wanaume mnaokuwa nao

Au mnakuwa mmelewa kiasi kwamba hamjitambui??

Ninae rafiki yangu mmoja alinisimulia kwamba alimpliz demu wake ampige picha za uchi wakati wanafanyana eti akakubali kwa sharti la usizirushe mitandaoni( ujinga wa hali ya juu)

Unamwaminije binadamu mwenzio? Simwamini mtu yyt hata siku moja. Binadamu mwenzio mpende tu ila usimwamini, mwamini Mungu tu
 
Habarini waungwana!

Naomba kuwauliza wanaume hapa maana yaonekana wanapenda huu mchezo.

Hivi unaanzaje kumchukua video mpenzi wako mnapokua mnafanya Yale mambo halafu unazirusha kwenye mitandao ya kijamii?

Hivi lengo nini haswa?hamjiskii vibaya au nafsi haziwasuti kwa hicho kitendo?mbona ni udhalilishaji sanaa!!!

Na ukitaka kujua mnafanya haya makusudi Mara nyingi zile video clipo mwanaume haonekani sura zaidi "mdudu" wake tu[emoji22] [emoji22] [emoji22] ila mwanamke anaonekana mpk sura na madoido yote pale kwa majambozi jamaanii!

Wanaume msitufanyie hvyo jamani hata kama mtu ni changudoa au yoyote yule hakuna kitendo kibaya kama kile jamani kinaumaa!

Ule ni zaidi ya uuaji kwa mwanamke!Hivi pata picha Dada ako,mama ako au ndugu yoyote wa kike wa kwako akifanyiwa hvyo utajiskiaje?au hamjui hivi vitu vinaweza kukurudia siku moja kwa namna nyingine?

Mimi bwana ukinifanyia hivi nikishindwa kukuua,sijawahi kuroga mtu ila ntakuroga aiseeehhh!uwe hata chizi maana kwa Mungu mbali kusubiri hukumu!Siwezi kukubali hii aibu aiseeh!

Hata kama tulipiga kwa mapenzi yetu ila kwa nini uzirushe kwenye mitandao tukiachana?

Acheni hiyo tabia mnaumiza sana wanawake.
Hasa pale dyudyu linapokuwa refu unaona mdada anavyohangaika nalo mpaka linazama lote!!!!
 
Mmh. Rafiki akili zinahama huku simu zinakumbukwa lol.

Mie naona si tabia njema. Ila kwa mbaali najiwazia kwa nini haya mambo ni kwa wale wapenzi na sio baina ya Mke na Mume kwa nini?

Au wapenzi wanataka akiba ya silaha za maangamizi ili siku ikitokea kibuti basi zitumike. Teh.
Basi itakua ni mambo ya ujana tu...
 
Sharti langu la kwanza ni kuzizima simu zetu zote, sitaka-gi ujinga mimi. Unakuta mshedede umekolea huko simu inaita aaaarrrrrrrgggggghhhhhhh!!
Hahaaaa. Lol.

Bora huwa unajiongeza rafiki sababu mimi kama mimi pia nimewaza kama wewe sababu saa nyingine hiyo simu yaweza pokelewa ikawa ya madeni ukajikuta ukitoka hapo huo mshedede ushasinzia sasa mpaka kuanza kuuamsha tena lol.

Ni vyema muda ule usiingiliane na jambo aiseee.
 
Mmh. Rafiki akili zinahama huku simu zinakumbukwa lol.

Mie naona si tabia njema. Ila kwa mbaali najiwazia kwa nini haya mambo ni kwa wale wapenzi na sio baina ya Mke na Mume kwa nini?

Au wapenzi wanataka akiba ya silaha za maangamizi ili siku ikitokea kibuti basi zitumike. Teh.
Mara nyingi inakua wanaset video camera pembeni huku mnaduu kumbe kule yanaendelea na hawezi kufanya kwa mkewe maana anajua atamdhalilisha mkewe na familia zao
 
Back
Top Bottom