Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,919
- Thread starter
- #101
Dada na wewe!Kuwa passive leader haimaanishi ni goigoi. Lakini pia kuna njia ya kummanipulate mtu kuelekea kwenye maamuzi. Japo binafsi napenda mwanaume ambae ni kiongozi. Hii kichwa yangu inavyopata moto, i need a man who can tell me 'sweettie, slow down on this. Lets tackle this on that other angle'.
Sasa kama kichwa inawaka moto si ukakae jirani na FIRE?......LOL!
Umeanza lini kazi ya utabiri?Nijibu swali niache siasa. Sitamuacha. Utaruka majivu ukanyage moto.
Kwanini tu usifikirie utakakoenda patakuwa bora zaidi?