Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Hapo ndipo nakupendea
!
ni hiko tu hakuna ziada
sio wote....so we cant generaliseWengi mko hivyo
Hapo ndipo nakupendea
!
sio wote....so we cant generaliseWengi mko hivyo
Aisee kiuhalisia hapa mwanamke lazima awe na hekima,busara na mapenzi ya juu sana kwa huyo mumewe otherwise ni mchezo wa pata potea!! Si tunayaonaa!!! Btw-binafsi!! kama mambo mengine Yupo fiti ananijali,2naelewana,2nasikilizana,baaasi NIMBADILI WA NINI? ataendelea kuwa mume wangu wa kufa na kuzikana ! Baaaasi!!!! Kuna lingine Eiyer ?
Very true my brother women tend to be men where men have ceased to be men and this includea having the superior manhood so keep kimya when she is out other doing het duty of gegedaringHapana siwezi kumuacha kwani nitakua nimemfahamu muda mrefu as u said tangu tupo sekondari na kama alikua na hiyo tabia ya ukimya basi nimeizoea tangu kitambo lakini hata hivyo kama imeanza tukiwa kwenye ndoa nitajichunguza kama mimi ndio sababu mayb kwasababu nimemzidi basi nitajishusha na kumpa heshima yake.Lakini siwezi kumuacha wala kutaka kubadilishiwa will love my hubby with my body n soul!!!!!!!!!!!!!!
fyddell thank you ,ApreciateThis's the best of all comments on this thread. Receive my big ''Like'' Heaven on earth
Siku nikija kwenye maombi uniambie hayo mengineYapo mengi sana mrembo!
you can start with meKwa dunia ilivyo sasa ni vigumu sana kuwatofautisha!
LOL.....Mkuu wewe ni ke?
Maana namna ulivyojibu mmmmmhhhhh!!!!!
ha ha haEn ways,nijuavyo mwanamke anaweza kuvunja ndoa kwa sababu ndogo sana na isiyokuwa na msingi kabisa
Kama vile kunuka miguu.....lol!
ajitokeze anayependa mumewe/mkewe awe mzinzi.
Dah!
Kuna jambo ninajifunza kwenye huu uzi
Kuhusiana na majibu yako ni kwamba ndoa ina mambo mengi sana,lakini una uhakika kuwa hayo hapo hayata kuboa?
Sawa nitakuhabarisha
Halafu ujiandae na lile zpezi kabisa sio uanze kuniambia hujajiandaa
How?