Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

Yah
Cz kwanza mwaminifu so naamini nipo peke yangu
That's the most important thing,
Hayo mengine yanavumilika

Unapenda sana kuwa peke yako?
Yeye yuko peke yake?
 
ngoja nisklizie hapa watasemaje ili nijipange
 
Hapana siwezi kumuacha kwani nitakua nimemfahamu muda mrefu as u said tangu tupo sekondari na kama alikua na hiyo tabia ya ukimya basi nimeizoea tangu kitambo lakini hata hivyo kama imeanza tukiwa kwenye ndoa nitajichunguza kama mimi ndio sababu mayb kwasababu nimemzidi basi nitajishusha na kumpa heshima yake.Lakini siwezi kumuacha wala kutaka kubadilishiwa will love my hubby with my body n soul!!!!!!!!!!!!!!
 
sitamuacha asilani!
nimuache niende wapi nikateseke?
 
...Ooops!

nimeisoma hii thread kwa umakin...lakin nimeona kuna vitu vitanifanya nisimuanche huyu mwanaume...

No body is perfect..nitaachana na huyu anaechelewa kutoa maamuzi..ntaenda kwa anae act immedietly

lakin ni kiwembe tena kile Gillette..We should learn to appreciate what we have..not what we don't have

He loves ME..yes.I love him yes why leaving such a nice man

Hana pesa nying but he contribute something to our life that's okay....Most men are NATURAL LEADERS they just step

back when their wives think they want to be the leaders..Mbona hakuact hivo when we were boyfriend what If I am the

SOURCE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!I will consider some facts before I pull the PLUG..
 
Sitamuacha kamwe kwa kuwa hana tabia ya kupenda wanawake inanikera hiyo acha tu yuko wapi wa hivyo nupumue miye
 
me nitamwacha kwa sababu ni mnzito kufanya maamuzi na hana hela.... nachukia mwanaume mzembe nikiishi nae atahisi namtesa nitakavyokuwa namwendesha loh.

mwanaume anatakiwa atake control of the house na si kuwa mzembe siwezi na wengi wao wanapenda kutabasamu na kuchekacheka il kupotezea.
 
Kweli wewe mchaga,khaaa!!!!!
Wewe na eleri tu!

CC: Mtambuzi !!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Sitamuacha kamwe kwa kuwa hana tabia ya kupenda wanawake inanikera hiyo acha tu yuko wapi wa hivyo nupumue miye

Kwani wewe humjui Mentor ?...lol!
 
Last edited by a moderator:
Japokua napenda sana mwanaume anapokua anaongea na kua na maamuzi ila siwezi kumuacha huyo kwa sabab anazo sifa nyingine za muhimu (sio mtu wa wanawake)
ntajaribu kumuweka karibu zaidi na kumsaidia awe huru kwangu...
 
Mbona hii story imetoka wakati huu?au vinahusiana na issue ya Ufoh Saro na marehemu Mushi ?
 
Back
Top Bottom