Ewe msichana, kwanini uzae kabla ya kuolewa?

Hujaelewa kitu hapa, tatizo wanawake siku hizi wamekuw wengi Sana jaman, wanaume wachache
Na ukiongezea ndio wengine wanaandamana kutaka ky sijui, daaah msitufanyie hivyo jamani.
 
ila kuna ka ukweli flani unatupa mbegu kwenye shamba la watu kisha badaye mti ukiota utasema wako?
 
Kuolewa sasahivi imekuwa Kama sinema, asilimia sabini ya ndoa wanawake ndio waoaji na wanajitunza wenyewe na kulia watoto wao wenyewe pamoja na huyo mume yaani ni mbombongafu, Furaha ya Bibi harusi imekimbikia wapi?? Wanawake wanaolewa kwa uchungu sana bila Furaha yoyote ya kuolewa wakiwa wengi wao wamejilipia mahari wenyewe na kujinunulia Pete za uchumba kwa gharama zao wenyewe ili mradi asemwe kaolewa, sikuhizi wasioolewa ndio wajanja
 
Kumbe........!
 
Kuoa au kuolewa sio lazima.
Kila mtu afuate hitaji la moyo wake.
Binafsi nawafahamu wanawake ambao hawataki kusikia swala la ndoa.
Wameamua kuzaa na hawataki mawasiliano na hao wanaume waliozaa nao.
Hilo wazo la kubaki single nalifikiria namie... Nataka niwe na watoto wasiozidi wa3 hata waku adopt nitulie kuwalea inavopaswa nimalize kazi
 
Wewe tu na ujasiri wako.

Ndo ngumu sana aisee.

Mi nahisi siitamani kabisa.

Nna mpango niwe na mtoto tu nimlee kivyangu.
 
Ha haa ukifikiria mauza uza ya mwenzako unaona atakuongezea stress tu. Bora niwe bize na watoto kwakweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom