Kutembea siyo tatizo hata kidogo..Donatila.Na ewe msichana kwanini utembee na mwanaume kabla ya kukuoa?
Hapana sio lazimaKwani mkuu mtu akileta habari lazima aseme ya familia yake?
mmmhhh!!mume atakuacha hata umfanyie nini ila mtoto ni guarantee ya maisha
Shukuru Mungu dada kwamba wewe umebahatika katika hayo. Wanaokuwa single mothers hawakutaka kuwa hivyo ila wamejikuta wamekuwahivyo. Wala haipaswi kuwakejeli kwa jambo ambalo halikuwa uamuzi wao. Wengine walirubunika, na wengine umri umeenda bila kuwa na mahusiano yasiyoeleweka option waliyoamua heri kuzaa ili walau wawe na mtoto/watoto wa kuwafariji.Mkuu, mimi ni mke wa mtu, tena mama wawili
Mkuu sijawakejeli ila nimeuliza nikijua kuwa hapa kuna majibu mbalimbaliShukuru Mungu dada kwamba wewe umebahatika katika hayo. Wanaokuwa single mothers hawakutaka kuwa hivyo ila wamejikuta wamekuwahivyo. Wala haipaswi kuwakejeli kwa jambo ambalo halikuwa uamuzi wao. Wengine walirubunika, na wengine umri umeenda bila kuwa na mahusiano yasiyoeleweka option waliyoamua heri kuzaa ili walau wawe na mtoto/watoto wa kuwafariji.
Kama wewe mambo yako yamekwenda vizuri mshukuru sana Mungu kwa neema hiyo, kumbuka bado una watoto, hata wajane nao huwa single mothers.
Hapa kuna ukweliKutembea siyo tatizo hata kidogo..Donatila.
Hata wewe unaweza tembea na Mimi lisitokee chochote mamii.
Tatizo ni pale unapokubali kubeba mimba kabla ya kuolewa.
Hii inasababishwa na nyie wenyewe maana unakuta unatega makusudi ili afunge goli iwe ndiyo tiketi ya kukuoa.
Kumbe hata moyoni mwake unakuta hana wazo la kukuoa ni kugegedana tu basi.
Badilikeni nyie wenyewe kwanza hakika na wanaume tutabadilika muda siyo mrefu.
Kubeba mimba siyo tiketi ya kuolewa kwa wale wadada wenye mawazo ya ngoja nimtegeshee ili anioe utaishia kuwa single mother.