ahahaa unamuamini huyo ?Mkuu kwangu hutojutia kabisa mahusiano...achana na hayo mababa yenye vitambi vyao
Yupi mkuu??ahahaa unamuamini huyo ?
i guess you are virgin.Na ewe msichana kwanini utembee na mwanaume kabla ya kukuoa?
Npo ntafute...0652810180nipo serias natafuta mwanaume wa kuzaa nae
akitokea mzuri muelewa mwenye utu nishajitoa muhanga
Ok....kwanini unatembea na mwanaume kabla hajakuoa?Sio mkuu
Unanihusu sana wewe!,nipo serias natafuta mwanaume wa kuzaa nae
akitokea mzuri muelewa mwenye utu nishajitoa muhanga
KWAIYO MLITAKA NITEMBEE NA WATU WAMEOA? TATIZO HUMU WATU WAPO KINGONO SANA .HAKUNA WA KUKAA NAE MPANGE MAISHA
issue ipo hivi nilipost kutafuta mume wakaja watu wana familia zao wanataka michepuko siamini tena mtu humu baby dady nitapata tu mtaani mbona wengi?Sasa mamy, huyo mwanaume unayemtafuta wa kuzaa naye mtaoana? Au naye ni Kingono?
Okay, Mola akupe hitaji la moyo wako.issue ipo hivi nilipost kutafuta mume wakaja watu wana familia zao wanataka michepuko siamini tena mtu humu baby dady nitapata tu mtaani mbona wengi?
humu watu hawana heshima kwa mwanamke wanaona kama tunajiuza hivi
Mmh!nipo serias natafuta mwanaume wa kuzaa nae
akitokea mzuri muelewa mwenye utu nishajitoa muhanga
Hongera mama wawili, i guess uliolewa na bikra.Mimi ni mke wa mtu tena nina watoto wawili..