Ewe msichana, kwanini uzae kabla ya kuolewa?

Ewe msichana, kwanini uzae kabla ya kuolewa?

nipo serias natafuta mwanaume wa kuzaa nae
akitokea mzuri muelewa mwenye utu nishajitoa muhanga

Hujui unachotafuta binti, ushatoaga thread humu ya kutafuta mchumba, wenyewe tukajaa pm kwako, ukarudi na mrejesho hapa ooh wamekuja mababa na mavitambi yao, ooh nilikuwa natania tu sikuwa sirias, tukueleweje?
 
Moja... Hawajiiti single mothers ila hilo ndo jina sahihi la hiyo status.
Pili... Dunia imebadilika sana kwa sababu ya utandawazi. Hatuugi lugha na teknolojia tu toka kwa wazungu bali na maadili pia. Ko mi wala sishangazwi!
Inaitwa personal decision! Sio lazima kuolewa ko siwahukumu wasiotaka kuolewa.
Na ata hawa single mothers sio wa kuwahukumu pia, kwa sababu sio vizuri kuingia kwenye ndoa kwa kigezo kua mmezaa pamoja... Mtavurugana tu. Cha msingi watu tuwe makini, tunapofanya tendo la uumbaji tuwe tayari kwa matokeo... Hamna mimba ya bahati mbaya, labda uwe umebakwa.
 
Hujui unachotafuta binti, ushatoaga thread humu ya kutafuta mchumba, wenyewe tukajaa pm kwako, ukarudi na mrejesho hapa ooh wamekuja mababa na mavitambi yao, ooh nilikuwa natania tu sikuwa sirias, tukueleweje?
KUNA HAJA GANI YA KUTEMBEA NA MUME WA MTU SI BORA UZAE TU
 
Hujui unachotafuta binti, ushatoaga thread humu ya kutafuta mchumba, wenyewe tukajaa pm kwako, ukarudi na mrejesho hapa ooh wamekuja mababa na mavitambi yao, ooh nilikuwa natania tu sikuwa sirias, tukueleweje?
Hahaha.. eti mababa na mavitambi yao, mkuu umri nao unamruhusu afanye alichokifanya, akikuwa ataacha.
 
Habari wakuu,

Kumekuwa na wimbi kubwa la wasichana walioamua kuzaa wenyewe baada ya kukosa wa kuwaoa, wenyewe hujiita 'single mothers'.

Siku moja tukiwa katika kujumuika sehemu, msichana mmoja kati yao akauliza; nataka kuzaa maana umri umeenda na sijapata wa kunioa.

Msichana mwingine akasema mimi sitaki kuolewa, eti sababu nataka kuwa huru na mambo yangu.

Karibuni kwa michango yenu

Mbarikiwe...

Donatila

Bahati mbaya
 
Cwanataka wawe huru na mambo yao yaleeeee yakunoniiiinoooo Kama ulivyojibiwaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom