Ewe msichana, kwanini uzae kabla ya kuolewa?

Ewe msichana, kwanini uzae kabla ya kuolewa?

issue ipo hivi nilipost kutafuta mume wakaja watu wana familia zao wanataka michepuko siamini tena mtu humu baby dady nitapata tu mtaani mbona wengi?
humu watu hawana heshima kwa mwanamke wanaona kama tunajiuza hivi
Pole sana, mimi nilimpata baba watoto hukuhuku JamiiForums...
 
nipo serias natafuta mwanaume wa kuzaa nae
akitokea mzuri muelewa mwenye utu nishajitoa muhanga
kabla hujafikia kufanya maamuzi kama haya yakupasa ukae na kutafakari kwanza kabla ya kutenda jambo.

Hivi unadhani Mungu ni mjinga alipoweka Amri 10 na kuzini ikiwepo ndani ya Amri 10!

Jitafakari sana Mwanangu. Yaelekea uolewi kutokana na vitabia kadha wa kadha ulivyonavyo.

Jichunguze. Alafu jirekebishe utaolewa, maana kuzaa ndani ya ndoa kuna heshima yake Binti yangu.

Ukizaa bila ndoa unajulikana kama mchepuko na haileti picha nzuri kwenu mabinti.
 
Moja... Hawajiiti single mothers ila hilo ndo jina sahihi la hiyo status.
Pili... Dunia imebadilika sana kwa sababu ya utandawazi. Hatuugi lugha na teknolojia tu toka kwa wazungu bali na maadili pia. Ko mi wala sishangazwi!
Inaitwa personal decision! Sio lazima kuolewa ko siwahukumu wasiotaka kuolewa.
Na ata hawa single mothers sio wa kuwahukumu pia, kwa sababu sio vizuri kuingia kwenye ndoa kwa kigezo kua mmezaa pamoja... Mtavurugana tu. Cha msingi watu tuwe makini, tunapofanya tendo la uumbaji tuwe tayari kwa matokeo... Hamna mimba ya bahati mbaya, labda uwe umebakwa.
Nini maana ya kubakwa? Nijulishe tafadhali
 
nipo serias natafuta mwanaume wa kuzaa nae
akitokea mzuri muelewa mwenye utu nishajitoa muhanga
Ha ha miss natafuta nimeona comment yako hapa nimecheka mpaka jirani ameshangaa, maana nimekumbuka post yako ya kulee kwa mke wa kileo.Anyway mungu atafanya hitaji lako
 
Ni uamuzi tu kama ambavyo wewe mama wawili uliamua kuolewa.

Tena wengine unadhani hata wamekosa wa kuwaoa basiiiiii!!!

Tumekuwa watu wa kujudge sana, ila tuache kila mtu afanye anachoamini na kuona ni sahihi kwake, kuingia tu kwenye ndoa kisa tu fulani kaingia, au watanionaje,au mmemimbana nk nk ndio matokeo ya matetemeko ya ndoa nyingi za siku hizi hata Kuzifanya zikose maana.

Mie nimeamua kuolewa its okey, wewe haujaamua its okey pia.
 
Hakuna mwanamke anayeamua kuzaa tu bila kuolewa. Hutokea tu km ajali na siyo km wao wanavyosema wameamua tu.
Hakuna mwanamke anayependa kuwa single mother hutokea km ajali tu.
Hayo Ni mawazo yako, usilazimishe
 
kabla hujafikia kufanya maamuzi kama haya yakupasa ukae na kutafakari kwanza kabla ya kutenda jambo.

Hivi unadhani Mungu ni mjinga alipoweka Amri 10 na kuzini ikiwepo ndani ya Amri 10!

Jitafakari sana Mwanangu. Yaelekea uolewi kutokana na vitabia kadha wa kadha ulivyonavyo.

Jichunguze. Alafu jirekebishe utaolewa, maana kuzaa ndani ya ndoa kuna heshima yake Binti yangu.

Ukizaa bila ndoa unajulikana kama mchepuko na haileti picha nzuri kwenu mabinti.
Hujaelewa kitu hapa, tatizo wanawake siku hizi wamekuw wengi Sana jaman, wanaume wachache
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom