Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Niko poa sana... Ngoja nivute nifike miaka60 nipate mzee mwenzanguNshakwambia nitaoa miaka 10 ijayo.
Upo poa lakini?
Niko poa sana... Ngoja nivute nifike miaka60 nipate mzee mwenzanguNshakwambia nitaoa miaka 10 ijayo.
Upo poa lakini?
Niko poa sana... Ngoja nivute nifike miaka60 nipate mzee mwenzangu
Wa kumalizia nae uzee .... Dogodogo stress tuMzee mwenzako wa kumuogesha?
Au dogodogo?
Wa kumalizia nae uzee .... Dogodogo stress tu
Ni uamuzi tu kama ambavyo wewe mama wawili uliamua kuolewa.
Tena wengine unadhani hata wamekosa wa kuwaoa basiiiiii!!!
Tumekuwa watu wa kujudge sana, ila tuache kila mtu afanye anachoamini na kuona ni sahihi kwake, kuingia tu kwenye ndoa kisa tu fulani kaingia, au watanionaje,au mmemimbana nk nk ndio matokeo ya matetemeko ya ndoa nyingi za siku hizi hata Kuzifanya zikose maana.
Mie nimeamua kuolewa its okey, wewe haujaamua its okey pia.
Sasa mtoto anawezaje kuzaliwa na mzazi mmoja? Ila namjua mmoja YESU and HE was great.
Nimekumisimo mpendwa.[emoji106] [emoji122]
Tehe!, wewe bhana..
Kuingiliwa kimapenzi bila ridhaa yako!Nini maana ya kubakwa? Nijulishe tafadhali
Does that all matter???nipo serias natafuta mwanaume wa kuzaa nae
akitokea mzuri muelewa mwenye utu nishajitoa muhanga
Mie mzima wa afya tele my dear.Mie zaidi mbona dear!...mzhima lakini?
Ni pm kama upo serious!nipo serias natafuta mwanaume wa kuzaa nae
akitokea mzuri muelewa mwenye utu nishajitoa muhanga
Mzuuri! Wazuri wapoge?nipo serias natafuta mwanaume wa kuzaa nae
akitokea mzuri muelewa mwenye utu nishajitoa muhanga
Kama vile ulikua mawazoni mwangu,Mimi naamini ni ubinafsi tu, unaamua kuzaa lakini hufikirii juu ya maisha ya mtoto bila baba. Nimekuwa na interaction na watu waliolelewa bila baba ndani, hawaipendi hali hiyo, kila mara wanalaumu sana kwa nini baba hakuwepo katika maisha yetu, laiti baba angenilea etc.
Mtu kufikiri kuzaa eti kwa vile ana uwezo wa kulea ni ubinafsi, huwazi kuhusu welfare ya watoto bali unajifikiria mwenyewe.