Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 8,247
- 25,191
- Thread starter
- #121
Asante kwa mchango mzuriMimi naamini ni ubinafsi tu, unaamua kuzaa lakini hufikirii juu ya maisha ya mtoto bila baba. Nimekuwa na interaction na watu waliolelewa bila baba ndani, hawaipendi hali hiyo, kila mara wanalaumu sana kwa nini baba hakuwepo katika maisha yetu, laiti baba angenilea etc.
Mtu kufikiri kuzaa eti kwa vile ana uwezo wa kulea ni ubinafsi, huwazi kuhusu welfare ya watoto bali unajifikiria mwenyewe.