European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

Hayo yote sikuona sababu hata moja yalipokuwa yanazuiliwa.. Nilikuwa nashangazwa sana kwa mtu mcha Mungu kuzuia haki za raia wake... Ila anaweza achia EU na US wamemzodoa tu kwa kumuambia ukweli kuwa ukandamizi sio mwake kabisa only for the people who have roho mbaya... Jiwe alikuwa anasubiri Jogoo EU awike akawika now jogoo US nae kawika so akiendelea na roho mbaya vikwazo nami niviunga mkono kwani anayefaidika na keki ya taifa ni yeye na regime yake
Chezea vyote ila sio USA mzee baba.. Soon ataelewa mabeberu hawapendi ujinga
 
Ila ukiangalia kwa jicho la mbali hawa eu watakua na sbb zao zingine,maana rwanda tu hapo kuna mabaya yanayofanyika kupitiliza haya ya hapa kwetu lkn wameuchuna tu!
Tuondolee upumbavu wako wa rwanda hapa. Kama unawapenda sana omba uraia ukaishi huko.

Tumewafuga sana wakimbizi wao hapa wewe ndio leo wana kuimpress,

Rwanda wale matamanio yao ilikuwa wapate peaceful country kama Tanzania

Leo walikotoka ndipo unatamani kwenda?
 
Daaa tutegemee kuishi kwa tabu zaidi,kwa sababu hayo hayatatekelezwa na tutachukua hatua zingine zitazotupa tabu zaidi
 
Kweli mkuu,binafsi wala siwapingi kwa wanachoituhumu srikali yetu,ukakasi unakuja kwann ukomalie kwetu tu jambo hili while kuna nchi zingine hali ni mbaya zaidi ya hapa kwetu,kwa jicho la mbali rais wetu inabidi awe makini sana ktk hili
Ni kweli usemavyo, je hayo waliyotaja sababu ya kutumulika hayapo? Kama yapo yafanyiwe kazi ili tuone watakuja na lipi.
 
Wasukuma wawili toka kolomije na chato yafaa wajitafakari vizuri maana Nchi wanaipeleka kubaya
 
Hahaha hawa wazungu wanataka tuwaachie hata waislam wa UAMSHO?!
 
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (ushoga/usagaji. CCM wanasimamia ushoga tu, usagaji hawausemei ina maana wanaukubali)

BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE
>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake
LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO
>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu
Mwana kulitaka mwana kulipewa
 
Hao jamaa hawakusema lolote juu ya wezi wa mali ya umma! Kama ni hivyo hatuhitaji kusaidiwa kuongoza nchi. Yaani Bunge la EU halifahamu tatizo kubwa la Africa ni nini? Rushwa na wizi. Hawasemi lolote juu ya hayo na wanajidai kututetea! Nonsensical!
 
Hayo yote sikuona sababu hata moja yalipokuwa yanazuiliwa.. Nilikuwa nashangazwa sana kwa mtu mcha Mungu kuzuia haki za raia wake... Ila anaweza achia EU na US wamemzodoa tu kwa kumuambia ukweli kuwa ukandamizi sio mwake kabisa only for the people who have roho mbaya... Jiwe alikuwa anasubiri Jogoo EU awike akawika now jogoo US nae kawika so akiendelea na roho mbaya vikwazo nami niviunga mkono kwani anayefaidika na keki ya taifa ni yeye na regime yake
NAwe unaamini hayo ndo matatizo ya Tanzania? Au wamesema wazungu?
 
Back
Top Bottom