Ila ukiangalia kwa jicho la mbali hawa eu watakua na sbb zao zingine,maana rwanda tu hapo kuna mabaya yanayofanyika kupitiliza haya ya hapa kwetu lkn wameuchuna tu!
Maskini anatawaliwa siku zote.Kama yatatekelezwa nitamini kwamba bado tunatawaliwa na wazungu
China ni rafiki wa kweli wa raslimali zetuHawawezi kuliacha bara la Afrika kwani wengi wana interest zao huku haswa kwenye mashirika yao ya kuwekeza kama madini, mafuta, na vinginevyo.....wazungu hawajaacha kuichuna Afrika na ndiyo maana wana wasiwasi sana na uhusiano wa Afrika na China kwa hivi sasa.
Bahati ya mwenzako...........................wazi. Hata hivyo akina Ingabire Victoire na Diane Rwigara wameachiwa bila masharti na usifikiri ni kwa mapenzi au huruma ya Kagame. Ni shinikizo kali toka huko huko.Ila ukiangalia kwa jicho la mbali hawa eu watakua na sbb zao zingine,maana rwanda tu hapo kuna mabaya yanayofanyika kupitiliza haya ya hapa kwetu lkn wameuchuna tu!
Jiwe Ashughulikie suala hili kwa namna ambayo haitatupeleka njia ya Zimbabwe. Hio hatutaki. Tunamtakia la kheri anapopambana na wakubwaw.
China ni rafiki wa kweli wa raslimali zetu
Tatizo hii nchi wengi hawaijui, nakuhakikishia hapo hakuna litakalofuatwa hata moja na hawatofanya chechote
Muda ni mwalimu.
Zimbabwe ikulu ipo mbali na bahari lakini Tanzania kumbuka ikulu ipo jirani na bahari ni rahisi Marekani kutuma nyambizi kubwa zilizopo mombasa na sehemu zingine Duniani zikaja mpaka feri chini kwa chini zikafanya yake na kuondoka kimya kimya
Umeona hilo tu?Tanzania kuna wafungwa wa kisiasa ? hili la watoto wakiume kuruhusiwa kuwa kama Dada zao lazima Esther Bulaya apambane Sana kuhakikisha linapita
Pia msiende kutembeza bakuli na kuwaita wanaume pale wanapojaza bakuli lenuHatupangiwi.....nchi yetu ni huru kwa zaidi ya miaka 50 sasa
Hana utu mbele Pesa damu ni MAJI kwake.Uwapenda viongozi wakopaji ili achukue Bandari,mbuga,maziwa, viwanja vya ndege.China ni komba mwiko ni Mkoloni hatari kuliko hata mzungu
Hakuna watakachofanyaTrue maana ni kitanzi kwake.Mpenda ligi yuko radhi tuwe fukara Lkn sio kutii au kuachia kiti.
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (ushoga/usagaji. CCM wanasimamia ushoga tu, usagaji hawausemei ina maana wanaukubali)
BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE
>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake
LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO
>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu
Wacha ashupae mpaka shingo ivunjike kabisaaaa! Hilo ndo hitaji kuu kwa sasa!Sawa ila hizo issue yule stone hatayakubali
Atanendelea kushupaza shingo mpaka ivunjike!
Kwa hiyo hata kama kuna kuoneana bc watu waendelee tu kuonewa wasitetewe kisa ñi nchi HURU?Hatupangiwi.....nchi yetu ni huru kwa zaidi ya miaka 50 sasa