We've been missing your positive contributions.Mh! Costly? Please explain. FYI it cost me nothing to stay away from JamiiForums.
We've been missing your positive contributions.Mh! Costly? Please explain. FYI it cost me nothing to stay away from JamiiForums.
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (ushoga/usagaji. CCM wanasimamia ushoga tu, usagaji hawausemei ina maana wanaukubali)
BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE
>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake
LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO
>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu
Nyie hamna tofauti na makaburu wa Afrika kusini waliokuwa wanaua watu weusi hovyo hovyo, hivyo nyie bora hata hao wakoloni weupe wana kaubinadamu kiasi kuliko nyie mumiasHatupangiwi.....nchi yetu ni huru kwa zaidi ya miaka 50 sasa
Hatupangiwi.....nchi yetu ni huru kwa zaidi ya miaka 50 sasa
Nyie hamna tofauti na makaburu wa Afrika kusini waliokuwa wanaua watu weusi hovyo hovyo, hivyo nyie bora hata hao wakoloni weupe wana kaubinadamu kiasi kuliko nyie mumias
Mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais ndugu Bashite wao wamekariri nguvu za kamati za ufundi wanadhani kuwa zitazuia ulimwengu kuimulika Tanzania dhidi Uonevu wa Serikali ya CCM kwa Wapinzani.Sawa ila hizo issue yule stone hatayakubali
Atanendelea kushupaza shingo mpaka ivunjike!
Kama yatatekelezwa nitamini kwamba bado tunatawaliwa na wazungu>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (ushoga/usagaji. CCM wanasimamia ushoga tu, usagaji hawausemei ina maana wanaukubali)
BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE
>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake
LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO
>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu
Dikteta wa maendeleo sio wa kupambana binafsi na watuI hope wakina Zitto watayapinga haya maamuzi ya EU maana waliomba Mungu tupate rais dikteta ili awashikishe adabu kwa sababu walimchoka JK kwa udhaifu wake.
Mkuu mbona umeshupalia hoja moja ya mapenzi ya jinsia moja wakati kuna maswala mengi ya msingu hapo kama yalivyoletwa na mleta mada..Tanzania kuna wafungwa wa kisiasa ? hili la watoto wakiume kuruhusiwa kuwa kama Dada zao lazima Esther Bulaya apambane Sana kuhakikisha linapita
Ongezea na hii....nchi yetu ni omba omba kwa miaka yote 57 ya uhuruHatupangiwi.....nchi yetu ni huru kwa zaidi ya miaka 50 sasa
Ananyimwa misaadaDaaa Aisee Magu kayataka mwenyewe, hivi yasipotekelezwa itakuwaje
Dikteta wa maendeleo sio wa kupambana binafsi na watu
pumba kabisaHatupangiwi.....nchi yetu ni huru kwa zaidi ya miaka 50 sasa
Hatupangiwi.....nchi yetu ni huru kwa zaidi ya miaka 50 sasa
Hivi Kumbe Bado wazungu wanalijadili bara LA Africa km koloni lao?
Ukiwa na fikra ndogo hauwezi kuelewa kama wapo au hawapo kwa sababu wewe unaamini ufungwa ni mpaka uwe gerezani tu lakini hauelewi kama hata kuwa na kesi nyingi za wanasiasa na kulipoti karibu kila wiki mahakamani na polisi ni ufungwa pia kwa mwanasiasaTanzania kuna wafungwa wa kisiasa ? hili la watoto wakiume kuruhusiwa kuwa kama Dada zao lazima Esther Bulaya apambane Sana kuhakikisha linapita
Jiwe Ashughulikie suala hili kwa namna ambayo haitatupeleka njia ya Zimbabwe. Hio hatutaki. Tunamtakia la kheri anapopambana na wakubwaw.Hayo yote sikuona sababu hata moja yalipokuwa yanazuiliwa.. Nilikuwa nashangazwa sana kwa mtu mcha Mungu kuzuia haki za raia wake... Ila anaweza achia EU na US wamemzodoa tu kwa kumuambia ukweli kuwa ukandamizi sio mwake kabisa only for the people who have roho mbaya... Jiwe alikuwa anasubiri Jogoo EU awike akawika now jogoo US nae kawika so akiendelea na roho mbaya vikwazo nami niviunga mkono kwani anayefaidika na keki ya taifa ni yeye na regime yake