Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Huyu mtangazaji mlenda kweli, eti "the inevitable Xavi"
 
Hii inanikumbusha final ya UCL ya mwaka 2003 kati ya Juventus na AC Milan ambapo beki Roque Junior wa AC Milan aliumia wakati kocha Carlo Ancelotti keshamaliza sub zote tatu..
 
Miti yote inateleza sasa. Ndiyo mwisho wa waitaliano.
Kama Thiago Motta alikuwa na tatizo la Harmstring kwa muda mrefu itakuwa ni uchemfu wa prandelli...

Watu wanashangaa ni kwa nini kamuingiza Thiago Motta badala ya Alessandro Diamante...
 
Cesc OUT>,Torres <
Bado nalilia Llorente hakucheza hata mara moja.
 
Hawa Hispania wataongea sana...
Wanastahili kuongea bana......Mara kumi hata Germany ingeingia final.....Wangeleta upinzani...

Italy sasa hivi wanaomba muda uishe tu ili wasiongezwe magoli mengine...
 
Spain are now toying around with Italy while Italy look a deflated team. Sitashangaa kama Baloteli akifanya jambo la ajabu out of frustration.
 
Kikosi cha Spain nimemkumbukia David Villa, jamaa namfagi sanaaa!!

Italy kweli wamezidiwa. Mpaka sasa Spain wameshachukua ubingwa!! Viva Espana😛oa:A S soccer:
 
Yaani bora hata Ujerumani ingeingia fainali. Hawa Wataliano bure kabisa. Wamenipotezea muda wangu tu.
 
Kikosi cha Spain nimemkumbukia David Villa, jamaa namfagi sanaaa!!
Italy kweli wamezidiwa. Mpaka sasa Spain wameshachukua ubingwa!! Viva Espana😛oa:A S soccer:
The best forward of Spain Villa Maravilla bado anajiuguza, yuko Mallorca Island na familia yake.
LA TATU!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom