Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Timu nyingine bure kabisa. I wish Germany ingeingia final. How can the final be 4-0?. This is the worse final I have ever seen in my life time.
 
If players finish level on goals:
The following criteria are applied, in this order, to determine who wins the adidas Golden Shoe:
a) highest number of assists;
b) fewest minutes played.

NB: Only goals scored in normal or extra time count towards a player's tournament total – penalties scored in a shoot-out do not.

UEFA EURO ? UEFA.com
 
Congrats to Spain, that was a dominating performance!!

Mammamia, enjoy fresh sangria & tapas...kesho kazini kumbuka, kudos kwa ushindi!!
 
tunashukuru sana wakuu kwa kutupatia links nasi tumeshuhudia japo kwa kupewa info's
 
Hiyo ndiyo Spain. Wenye chuki binafsi wote mtajibeba kama England wapiga porojo! Ati style yao inaboa... Watuonyeshe isiyoboa imewapa mataji mangapi! Viva La Roja, Viva Espana.
 
And they said Spain are boring!!

Wapi Gang Chomba?

Its Me Sir...
Hands shakes.
Still ilikuwa ni Game ngumu kwa pande zote mpaka dakika ya 59 but kupata Jeraha Thiago Motta kumepelekea timu ya Italy kupwaya na pia Spain kutumia upungufu huo wa wachezaji 10 uwanjani kuutawala mchezo kwa ujumla na kupata magoli mawili ya ziada.

Kwa yoyote mwenye utimamu kichwani atagundua tofauti ya Italy walivyokuwa 11 na walivyobaki 10.
pia Italy tuliweza kutengeneza nafasi lakini tukashindwa kuzitumia.
Nimesikitika kusoma kauli za ndugu zangu ambao huwa nawaamini sana ktk maswala ya uchambuzi wa mambo mbalimbali eti leo hii wameandika ''BORA WANGEINGIA FAINALI UJERUMANI''...

Dah kauli hiyo imenisononesha sana na kuamini kuwa sio woote watakaoita ''BWANA'' basi watauona ufalme wa Mbinguni...

All in all Hongera Gutierez hongera Mamammia na washabiki woote walioanza na Spain na wamemaliza na Spain...
Hakika mmenishikisha Adabu.

Kwa niaba ya fundi mitambo Obby Mwambungu... Ndugu zangu Companero na Myao wa Tunduru tunasema hongereni Spain, mmecheza vizuri na mmestahili ushindi.

Kutoka hapa somewhere unknown ni mimi Shabiki nguli na muumini wa Soka la Italia Gang Chomba sina la ziada nawarudisheni Studio Pugu Road kwake Nadhir Mayoka kwa ajili ya matangazo Mengine.
 
Big Up Spain....
Ilitakiwa wanaojua ndio washinde na ndivyo ilivyotokea......
Iniesta---Magical global star according to commentetor
 
Congrats to Spain, that was a dominating performance!!

Mammamia, enjoy fresh sangria & tapas...kesho kazini kumbuka, kudos kwa ushindi!!
Gracias BJ, gracias. Nilitoka nje kidogo kwenda kuona mazingira! It's amazing. Nikishajua namna ya kupachika video bila ya kutumia link nitaweka baadhi.

Its Me Sir...

All in all Hongera Gutierez hongera Mamammia na washabiki woote walioanza na Spain na wamemaliza na Spain...
Hakika mmenishikisha Adabu.

Kwa niaba ya fundi mitambo Obby Mwambungu... Ndugu zangu Companero na Myao wa Tunduru tunasema hongereni Spain, mmecheza vizuri na mmestahili ushindi.

Kutoka hapa somewhere unknown ni mimi Shabiki nguli na muumini wa Soka la Italia Gang Chomba sina la ziada nawarudisheni Studio Pugu Road kwake Nadhir Mayoka kwa ajili ya matangazo Mengine.
Asante sana Gang Chomba. Na wewe na kikosi chako ninakushukuruni pia. Kwenye washindani wawili lazima mmoja aibuke mshindi hata kama ingekuwa kwa kurusha shilingi kama ilivyokuwa zamani. Hii haina maana Italy ni timu mbaya.
Mchezo wa leo ulikuwa mgumu, sio miguuni tu lakini zaidi kwa shinikizo toka pande zote - kujiamini sana na kutojiamini vyote vilikuwavikwazo vigumu kwa timu zote.

Bado miaka miwili, 2014, timu zitakutana tena Brazil. Natumai na ninaitakia Italy ifanye vyema katika kombe la dunia.
Kudos Gang Chomba!
 
NAWAAGA NA HIII WAJAMENIIIII......HUREEEEEEEE HISPANIA

1837926_W2.jpg




GHAFLA ALIJISIKIA KAMA UNDERGROUND FLANI PALE UBAO ULIPOSOMEKA 4 - 0
1837947_s5.jpg
 
Niliwatakia kila la kheri Italy lakini imegeuka kibao!

Ila bado nawakubali next season watafanya vizuri.
 


article-2167328-13E258F7000005DC-267_634x422.jpg


Champions! Casillas holds the trophy aloft after watching his side ease past Italy in Kiev

 
Hongereni washabiki wote wa Spain,kweli wamecheza vizuri na ndio maana wakaibuka kidedea.

Inachonifanya nisiwapende hili Taifa kwa upande wa soccer ni UBAGUZI wa rangi walionayo tu!
Yani imenifanya niwachukie kwa upande wa soccer kbs!

Ila hakika wanakipiga soccer haswa!
 

Late surge earns Torres adidas Golden Boot

Fernando Torres's goal and assist in the closing six minutes of the UEFA EURO 2012 final win against Italy were enough for the Spain striker to take the adidas Golden Boot award.

article-2167328-13E2463E000005DC-301_634x414.jpg


Fernando Torres scored one and set up another in the closing stages of UEFA EURO 2012 to take the adidas Golden Boot award.

Torres finishes tied with five other players on three goals for the tournament, with he and Germany's Mario Gomez also on one assist apiece. The Spain striker, a second-half substitute in the 4-0 final win against Italy, takes the top-scorers' honour having played fewer minutes (189) at the finals than Gomez (282).

When players finish level on goals:
The following criteria are applied, in this order, to determine who wins the adidas Golden Shoe:
a) highest number of assists;
b) fewest minutes played.
NB: Only goals scored in normal or extra time count towards a player's tournament total – penalties scored in a shoot-out do not.
UEFA EURO 2012 final tournament top scorers
3

Fernando Torres (Spain)
Mario Gomez (Germany)
Mario Balotelli (Italy)
Cristiano Ronaldo (Portugal)
Alan Dzagoev (Russia)
Mario Mandžukić (Croatia)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom