Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Kikosi cha Spain nimemkumbukia David Villa, jamaa namfagi sanaaa!!

Italy kweli wamezidiwa. Mpaka sasa Spain wameshachukua ubingwa!! Viva Espana😛oa:A S soccer:
Kuumia kwa Thiago Motta kumewagharimu Italy zaidi.....Maana imewabidi wacheze 10 kwa dakika 30........Wanastahili kushindwa aisee.....
 
Hakuna hata haja ya kumaliza dakika zote 90. Wawakabidhi tu Espana kombe lao halafu kila mtu aishie kwao.
 
Wanastahili kuongea bana......Mara kumi hata Germany ingeingia final.....Wangeleta upinzani...

Italy sasa hivi wanaomba muda uishe tu ili wasiongezwe magoli mengine...

Dah! Torres kawapa kombe rasmi.

Hakika Ujerumani wangeweza kuwa wapinzani zaidi. Lakini chifu,kumbuka kabumbu uamuliwa dimbani ndani ya dakika 90, 120 au penati. Hivyo mambo pengine yangeweza kuwa tofauti.
 
Dooh.. Ivi spain ndio walichukua world cup?. Maana mie mgeni (joke)
 
This game was over even b4 this third goal... So disappointed with ITALY... CONGRATS to SPAIN
 
Dah! Torres kawapa kombe rasmi.

Hakika Ujerumani wangeweza kuwa wapinzani zaidi. Lakini chifu,kumbuka kabumbu uamuliwa dimbani ndani ya dakika 90, 120 au penati. Hivyo mambo pengine yangeweza kuwa tofauti.
Spain size yao Germany chief.....Hawa Italy sio level ya Spain.......Pia Thiago Motta kawagharimu
 
The best forward of Spain Villa Maravilla bado anajiuguza, yuko Mallorca Island na familia yake.
LA TATU!

Chifu Villa yumo hapo kiwanjani, anacheki soka tu.

Hongera kwa kikombe.

Hii sasa aibu! 4-0 kwenye fainali?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom