Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Fabregas anataka kumpiga chenga mpaka kipa
 
It's wonderful feet from Fabregas as he dances into the Italian box. However, he is just crowded out at the vital moment.
 
Kwa mpira wanaocheza Italy leo kuna hatari hata wakaongezwa la 3 maana kiungo kimepwaya na beki pale kuumia kwa Giorgio Chiellini ndio imekuwa inapwaya mpaka basi.....

Labda Coach Prandelli awaingize haraka Alessandro Diamante na Antonio Di Natale wanaweza kubadilisha mchezo....

Di Natale keshaingia.
 
Italians are getting desparate, is there light at the end of the tunnel for Italy..............mamma mia
 
Hapa Italy hawaonyeshi matumaini yoyote ya ushindi.
 
Ha ha ha haaaah!! Jamaa mmoja hapa anasema eti Papa kasahau kuwaombea Italy....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom